stormryder
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 3,776
- 5,786
Houthi wakiwaza wanavopenda mirungi wanakuwa wapole, wakikumbuka Janah hakuna mirungihouthi wamepigwa kombora moja tuu wamefunga mdomo walifikiri israel ni US?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Houthi wakiwaza wanavopenda mirungi wanakuwa wapole, wakikumbuka Janah hakuna mirungihouthi wamepigwa kombora moja tuu wamefunga mdomo walifikiri israel ni US?
"What Is Comparative Advantage?" What Is Comparative Advantage?Kama umeweza kutengeneza mabomu, makombora, drone na bunduki (silaha za kivita) ambazo ni za kisasa utashindwa kutengeneza TV, Satelite, computer, simu na bidhaa zingine za kutumia majumbani?
Nchi zinazoamini ⭐🌙 ni za kijinga na kipuuzi, zinawaza vita (kuuana) na kuwaita watu makafiri Ila ukija kwenye maendeleo wanawategemea makafiri.
Watu wa ⭐🌙 kutengeneza makombora na kurusha toka Iran mpaka Israel kwenda kuua kwao ndiyo maendeleo ila ukija kwenye maendeleo ya kiuchumi 98% wanategemea makafiri. Mfumo wa elimu, usafiri, umeme, simu, afya n.k
Hapa Tanzania waislamu hawana hospitali hata moja, chuo kikuu kipo kimoja tena walipewa. Hawana hata mpango wa maendeleo ila sasa wakisema mambo ya kuua, watakuwa na umoja. Watashirikiana hata na mabomu na makombora ya kuwaua makafiri watatengeneza
Aya mwili ume patikana uko mkachukue majivu mkazike sasaKiingereza hujui,Iran alipiga Israel na dunia nzima ikaisaidia kudungua makombora,houthi wamepiga ndani kabisa ya Israel kwa drone ambayo hawakuiona, hizbullah wanapiga picha ndani ya Israel daily na kurusha video tuone
Acha kuwa mnafiki. Unawaza uhuru wa wawapalestina wakati hapo Sudan. Waarabu waislamu (Rapid Support Force) wanawauwa waislamu waafrika. Lakini hayupo muislamu anayekemea kwa vile muarabu mwenye dini yake anaua mtachafua uislamu na mtafukuzwa kwenye dini.Udini unatokea wapi kwenye kadhia hii?
Ulichoandika hapa kinafanana na sala iliyofanyika kwenye kanisa moja Arusha jana kuiombea Israel ambako pia sadaka zilikusanywa kwa niaba ya taifa hilo.
Kwenye sala hiyo ilisemekana tunawajibika kukesha kuilinda Israel.
Kwa hakika ni heri ya kiboko ya wachawi!
Zingatia:
View attachment 3057845
1. Sikwenda shule ya madrasa au ni zile shule zenye mfumo wa elimu za makafiri?"What Is Comparative Advantage?" What Is Comparative Advantage?
Najua shule hukwenda,ukielewa niambie nikuoneshe viwanda vya iran
Acha kuwa mnafiki. Unawaza uhuru wa wawapalestina wakati hapo Sudan. Waarabu waislamu (Rapid Support Force) wanawauwa waislamu waafrika. Lakini hayupo muislamu anayekemea kwa vile muarabu mwenye dini yake anaua mtachafua uislamu na mtafukuzwa kwenye dini.
Huyo Mandela, nchi yake ina matatizo makubwa mpaka sasa ninavyoandika wale waathirika wa Apartheid policy mpaka sasa hawajapata haki zao, wananchi wake walikuwa wanauwa wafrika ambao wapo South Africa kwa minajiri walikuwa wanachukua fursa za wazawa. Ufisadi kama wote wa Jacob Zuma.
Juzi netanyahu alikua USA kuomba msaada kuikabili Iran.Unadhani myahudi kabla hajawatandika hakujua kama mtakuja na hizi ngonjera?
Myahudi yeye haongei zaidi, alishasema mara moja atawatafuta popote mlipo, leo anawadondosha mmoja mmoja popote mlipo, huyu hana utani anamaanisha anachokisema.
Na ujue tu; hicho cheo cha kiongozi mkuu wa Hamas sasa kinaenda kuwa sawa na "death certificate" kwa mtu yeyote atakayekubali kubeba hilo jukumu, ukiwemo wewe Ritz
Hao wa Iran wenyewe warembo tu, juzi tu Rais wao kadondoshwa huko wakasingizia ukungu, kwani ule ukungu ulikuja ghafla?!
Myahudi amewazidi akili na uwezo wa kijeshi, hili sina shaka nalo, ataendelea kuwacharaza kwa style zote atakazotaka, nyie chezeni na hizo bendera nyekundu tu.
Na kwa taarifa yako myahudi akiamua kuudondosha huo msikiti mlioweka hiyo bendera nyekundu hapo, anaweza kufanya hivyo dakika yoyote, kwa sasa anawatazama tu kama watoto wadogo.
When you plan for revenge dig your own grave firstIran hivi sasa inafanya mkutano wa dharura wa Baraza lake Kuu la Usalama wa Kitaifa katika makazi ya Khamenei, tukio ambalo hutokea tu katika hali isiyo ya kawaida.
Kamanda wa Kikosi cha Quds pia anahudhuria.
Yeah! Most probably that grey haired feller.Up next on the list of jihadists to be liquidated will be Ayatollah Khamenei, the Supreme Leader of Iran for his role of sponsoring and abating the global terror.
Soma nilichokupa, comparative and absolute advantage,muwe mnaenda shule,Kuna kitu gani Cha Norway unachotumia!? Canada? Denmark?1. Sikwenda shule ya madrasa au ni zile shule zenye mfumo wa elimu za makafiri?
2. Ni bidhaa gani unayotumia kutoka Iran?
3. Ni mashine gani za viwandani zilizotengenezwa na Iran? Hata hapa tz tuna viwanda ambazo zinatumia mashine kutoka China, USA na Uingereza?
Aya mwili ume patikana uko mkachukue majivu mkazike sasa
View: https://x.com/sentdefender/status/1818677908623302808?t=d3kLfpI-gyXasbNN25DVGw&s=19
LGBTQ ndo kauli zenu hizi...Msirudi kuanza kulia lia hapa mkianza pigwa
Tulia ww kuna hat trick uko ime pigwa jana na leo kibabu Nasrah kime ingia chimboNetanyahu toka Jana anaishi chini kwenye bunker
Tulia ww kuna hat trick uko ime pigwa jana na leo kibabu Nasrah kime ingia chimbo
View: https://x.com/TheMossadIL/status/1818489855154012561?t=XuM25IclHebPoIh_UuIT3w&s=19
Tuambie alivyoomba msaada akapewa nini?Juzi netanyahu alikua USA kuomba msaada kuikabili Iran.
Wanaukumbi.
"Kulipiza kisasi kwa damu ya Ismail Haniyeh ni jukumu letu kwa sababu mauaji yalitokea katika ardhi yetu" - Ayatollah Khamenei, Kiongozi Mkuu wa Iran.
Iran ilipandisha bendera nyekundu ya Kisasi kwenye jumba la msikiti wa Jamkaran.
View: https://x.com/iranobserver0/status/1818559913167049050?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
View: https://x.com/globeeyenews/status/1818604260600246730?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Tulia bwa mdogo embu inamankuswekeHiyo ni akaunti ya shabiki wa Israel Kama wewe