Iran ilipandisha bendera nyekundu ya Kisasi

Iran ilipandisha bendera nyekundu ya Kisasi

Mandela a
Mandela aliwauza wafrika wenzake kwa makaburu ndiyo maana wanaomiliki uchumi mkubwa wengi South ni makaburu
1. Mpaka sasa waathirika wa Apartheid policy hawajapata haki zao.
2. Mandela alikuwa mbinafsi, aliongoza nchi kwa muda Mrefu kwa kujiona yeye ana akili kuliko wengine. Ni moja ya watu madikiteka ni sawa na Kagame, Mseveni na Ghadafi
3. Kama wananchi wake wanaua raia wageni na kupora mali kwa kisingizio kuwa wanaziba ridhiki zao. Mpaka sasa hakuna kesi
4. South Africa imejaa uuzaji wa madawa ya kulevya na mauaji holela. Kuuza madawa ya kulevya south ni kama kuuza kuku
5. Mandela ni mnafiki na alikuwa anataka ajulikane. Ameshindwa kuisaidia Congo zidi ya vita, ai

Kwani Mandela kaongoza kwa miaka mingapi ndugu?
Anamaanisha MANDELA wa BUTIAMA
 
Israel hajawahi kuwa mchokozi. Mara zote waarabu ndio wanaanzisha vita na Israel hana jinsi zaidi ya kujilinda.
Soma historia
Halafu; Na katika kujilinda, mtu hapangiwi eti ajilinde namna gani - atajilinda kwa mbinu anazozijua mwenyewe na anaona zinamfaa yeye. Kobaaz kuja kulialia hapa hakusaidii kitu komaeni na hali yenu mlioitafuta kwa muda mrefu.
 
⚡️🇮🇷🇵🇸BREAKING: Kauli ya kiongozi mkuu wa Iran Khamenei kuhusu mauaji ya Ismail Haniyeh

“Utawala wa Kizayuni wa jinai na kigaidi ulimuua shahidi mgeni wetu mpendwa katika ardhi yetu na umesababisha huzuni yetu, lakini pia umetayarisha uwanja wa adhabu kali.

Kufuatia tukio hili chungu na la kusikitisha ambalo limetokea ndani ya mipaka ya Jamhuri ya Kiislamu, ni wajibu wetu kulipiza kisasi.”
Anayefuata ni Ayatollah
 
Kiingereza hujui,Iran alipiga Israel na dunia nzima ikaisaidia kudungua makombora,houthi wamepiga ndani kabisa ya Israel kwa drone ambayo hawakuiona, hizbullah wanapiga picha ndani ya Israel daily na kurusha video tuone
Ila bro. kwa statement hii 👉"Iran alipiga Israel na dunia nzima ikaisaidia kudungua makombora, naona shida kuiafiki au kuiamini eti Dunia nzima.....
 
⚡️🇮🇷🇵🇸BREAKING: Kauli ya kiongozi mkuu wa Iran Khamenei kuhusu mauaji ya Ismail Haniyeh

“Utawala wa Kizayuni wa jinai na kigaidi ulimuua shahidi mgeni wetu mpendwa katika ardhi yetu na umesababisha huzuni yetu, lakini pia umetayarisha uwanja wa adhabu kali.

Kufuatia tukio hili chungu na la kusikitisha ambalo limetokea ndani ya mipaka ya Jamhuri ya Kiislamu, ni wajibu wetu kulipiza kisasi.”
Khamenei hata siku moja haendagi vitani ila anawatoa kafara vijana wa Jamhuri ya Kiislam -Iran.
 
tukisema inatawaliwa na wayahudi, tunamaanisha kiuchumi, kwenye social media, mass media na ushashishi mkubwa kwenye serikali.

juzi hapa, havard na vyuo vingine walichelewa tu kulaani antisemitism na wakaongea fyongo, makampuni mengi yalijiondoa ufadhili na viongozi walijiuzuru. maeneo makubwa ya kiuchumi yamemilikiwa na wao pia. kama unabisha basi tuamini yamemilikiwa na waarabu. hata siasa za sasaivi, nani uona kwenye kampeni anaponda israel? ajaribu aone. CNN, kampuni za HP, DELL, google, facebook, twitter x, whatsapp, CNN, TIME, just to mention a few.
Umesahau chatgtp cocacola Pepsi McDonald's kfc Oracle viber
 
Khamenei hata siku moja haendagi vitani ila anawatoa kafara vijana wa Jamhuri ya Kiislam -Iran.
Mbona unaongea pumba kwani Bush, Trump, Biden uwa wanaenda vitani.
 
Kama kidume kulikoni kuvuta wengine?

Iran hamvuti yeyote kwenye hili.

Kama kidume si avue gloves zipigwe kavu kavu?

Uchokozi kwa sababu ya kukingiwa kifua na wanaume, ni upumbafu!

Au wewe huoni hivyo ndugu?

Kwa nini Iran asivue glovu azipige kavu kavu...au huoni akina Houthi, Hamas na wengineo ....Kila siku Great Satan....! Great Satan....Kumbe Shetani mkubwa ni yaeye Mwenyewe......! Anaweza kufunga wanawake wasiovaa vilemba......Kumbe yeye kama nchi hata nguo ya ndani hajavaa.....Mkuu Kwa Iran hili tukio is a serios shame! Mgeni wenu mashuhuri anauwa na adui yako nyumbani kwako.....In short amekupima akakuweka kwenye mizani akaoni hauna chochote and wako tayari kwa hiyo bendera nyekundu juu ya msikiti!
 
Acha kuwa mnafiki. Unawaza uhuru wa wawapalestina wakati hapo Sudan. Waarabu waislamu (Rapid Support Force) wanawauwa waislamu waafrika. Lakini hayupo muislamu anayekemea kwa vile muarabu mwenye dini yake anaua mtachafua uislamu na mtafukuzwa kwenye dini.
Huyo Mandela, nchi yake ina matatizo makubwa mpaka sasa ninavyoandika wale waathirika wa Apartheid policy mpaka sasa hawajapata haki zao, wananchi wake walikuwa wanauwa wafrika ambao wapo South Africa kwa minajiri walikuwa wanachukua fursa za wazawa. Ufisadi kama wote wa Jacob Zuma.

Mkuu,....Huko Sudan hawaoni kabisa....Hatujawahi kuona Maandamano dhidi ya Boko Haram......Wanateka na kuoa vibinti vidogo.....yaana kuna matatizo fulani katika kuchanganua mambo.....
 
Hufahamu historia ya Hamas Israel kaishawau viongozi wengi akiwemo muasisi wa Hamas lakini ndiyo kwanza wanazidi kupata nguvu wagalatia wengi hawafahamu kama Hamas ni Ideology siyo mtu.

Kwa nini usiseme tu ni ideology ya Msahafu....au hujasoma charter ya Hamas wewe? Sio Ideology ni imani iliyopinda toka kwenye Msahafu wa imani yao....!
 
Hata Iran akipandisha matako yake hapo juu,sasa hivi itasikia mlio,Israel sio wa mchezo
 
Kama kidume kulikoni kuvuta wengine?

Iran hamvuti yeyote kwenye hili.

Kama kidume si avue gloves zipigwe kavu kavu?

Uchokozi kwa sababu ya kukingiwa kifua na wanaume, ni upumbafu!

Au wewe huoni hivyo ndugu?

Brazaj.....unashindwa kuamini.....Kidume kaondoka......Mpaka sasa Iran hawasemi nini hasa kilitokea.....wanajua wwzi Kuna Mkono wa Mosad katikati yao......Huo ndio unafiki mkubwa mno na udhaifu walio nao! Miaka nenda rudi wao wenyewe wanatofautiana pakubwa......Haniyeh kauawa ghorofa ya chini....Jamaa wa Islamic Jihad alikuwemo humo ndani kaachwa! Utasemaje.....? Wanauzana wao kwa wao.....Hawaamini kaondoka.....


1722455836098.png
 
Kwa nini usiseme tu ni ideology ya Msahafu....au hujasoma charter ya Hamas wewe? Sio Ideology ni imani iliyopinda toka kwenye Msahafu wa imani yao....!
Hamas believes that the message of Islam upholds the values of truth, justice, freedom and dignity and prohibits all forms of injustice and incriminates oppressors irrespective of their religion, race, gender or nationality.
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Hamas inaamini kwamba ujumbe wa Uislamu unasimamia thamani za ukweli, uadilifu, uhuru na utu na unakataza aina zote za dhuluma na kuwatia hatiani madhalimu bila kujali dini, rangi, jinsia au utaifa wao.
 
Back
Top Bottom