Mandela aliwauza wafrika wenzake kwa makaburu ndiyo maana wanaomiliki uchumi mkubwa wengi South ni makaburu
1. Mpaka sasa waathirika wa Apartheid policy hawajapata haki zao.
2. Mandela alikuwa mbinafsi, aliongoza nchi kwa muda Mrefu kwa kujiona yeye ana akili kuliko wengine. Ni moja ya watu madikiteka ni sawa na Kagame, Mseveni na Ghadafi
3. Kama wananchi wake wanaua raia wageni na kupora mali kwa kisingizio kuwa wanaziba ridhiki zao. Mpaka sasa hakuna kesi
4. South Africa imejaa uuzaji wa madawa ya kulevya na mauaji holela. Kuuza madawa ya kulevya south ni kama kuuza kuku
5. Mandela ni mnafiki na alikuwa anataka ajulikane. Ameshindwa kuisaidia Congo zidi ya vita, aisaidie Palestina😀😀😀
1. Wapi CV yako ndugu wewe ujidhaniaye kuwa bora kuliko kina Mandela, Gaddafi, Museveni au Kagame?
2. Kumbe Mandela aliongoza muda mrefu? Kwani unakukuruka hivi kutokea kijiwe kipi ndugu?
3. Kwani wananchi wa Libya, Rwanda au Uganda unadhani wana admiration yoyote kwako na hisia zako kwa viongozi wao?
4. Uliwahi kusikia wasauzi wangapi wamezamia Tanzania? Vipi watanzania na mataifa mengine kama sisi huko mnakoita bondeni?
5. Kumbe Tanzania ina kipi bora au hata cha maana kuliko huko sauzi ndugu mwana CCM mkereketwa?