Iyerdoi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2012
- 2,717
- 3,895
Hawa jamaa (kobaz) ni wazito sana kuelewa somo. Ni mpaka damu ziwatoke masikioni ndo watakuwa wamejifunza na kuelewa kwamba Myahudi ni habari ingine.ndugu usishabikie bita, muda si mrefu utakuja hapa kulialia kwamba wayahudi ni wakatili. waulize wahuthi kama wamerusha tena drone au wameufyata.