Iran ilipandisha bendera nyekundu ya Kisasi

Iran ilipandisha bendera nyekundu ya Kisasi

Rusia huwa hawashauri Iran ?uwezo wa kijeshi wa Rudia na wehu na ubabe wote wa Putin huwezi ona anaichezea Israel, ingekuwa ni kawaida pale Syria, Lebanon Mrusi angekuwa ameshaweka S-300, S-400, lakini ametulia mpaka ndege za Israel zinaingia Beiruti, Tehran, Damascus na kushambulia.
Syria kuna S300 na S400. Hoja yako nini hasa?
 
Huyu ayatollah hataki kujifunza kwa yaliyowapata viongozi wake na huyu Haniya, au anataka kujifunza akiwa mavumbini......Israel is blessed, usipotaka kupatana nao ni kujitafutia balaa tu.
 
Huyu ayatollah hataki kujifunza kwa yaliyowapata viongozi wake na huyu Haniya, au anataka kujifunza akiwa mavumbini......Israel is blessed, usipotaka kupatana nao ni kujitafutia balaa tu.
Tell them bhana. Hawajui kuzisoma alama za nyakati - yan Go while the going is good.
 
Syria kuna S300 na S400. Hoja yako nini hasa?
Hizo bro zilikuwa ni kwa maslahi ya Russia tu na S-300 zilishaondolewa.
Kumbuka ule msemo: Nguo ya kuazima haisitiri mat*ko
Soma hapa 👇 👇
Does Syria have S-400? (Source: Google)
20 Okt 2022 — Russia still maintains its more advanced S-400 air defense system in Syria, but the missiles are reportedly tasked only with defending Russian ...
While Russia has had the S-400 deployed in Syria for years now, it has deliberately avoided using them to target Israeli warplanes that frequently attack suspected Iran-related targets throughout that war-ravaged country
 
The retaliatory strike on Israel seems to be more severe and strong.

The Iranian IRGC is deploying the S-300 Long-range surface-to-air and anti-ballistic missile system in the west of the country.

Iran also deploys short range anti air missile in Tehran.
 
So what!!???
⚡️NDANI TU: Mkuu wa Majeshi wa Irani: Jibu letu kwa Israeli haliepukiki na litachukua hatua tofauti.

Mkuu wa Majeshi wa Irani pia alisema kwamba kwa sasa tunasoma na vikundi jinsi ya kujibu Israeli na anasema Israeli "itajuta" kwa kile ilichofanya.
 
Ile vita ilipiganwa kwa support ya infidels wa CIA wakiongozwa na Laden ambaye mbeleni walikuja kuzinguana
Ukisema CIA infidels equals to USA.
Pia kipindi kile kile kuna maeneo mengine yalikua yameanzisha uasi wa kujitenga na USSR.
Hivyo ingekuwa ngumu Russia kuhimili yote hayo.
Sio sawa na sasa kuwa Russia is one unified nation.
 
Syria kuna S300 na S400. Hoja yako nini hasa?
Ile mifumo muda mrefu inakua inactivated.
Ila ikiwa activated lazima Israel apoteze ndege,2021 ilikua activated Israel alipoteza ndege tatu pale Damascus.
 
Hizo bro zilikuwa ni kwa maslahi ya Russia tu na S-300 zilishaondolewa.
Kumbuka ule msemo: Nguo ya kuazima haisitiri mat*ko
Soma hapa 👇 👇
Does Syria have S-400? (Source: Google)
20 Okt 2022 — Russia still maintains its more advanced S-400 air defense system in Syria, but the missiles are reportedly tasked only with defending Russian ...
While Russia has had the S-400 deployed in Syria for years now, it has deliberately avoided using them to target Israeli warplanes that frequently attack suspected Iran-related targets throughout that war-ravaged country
Sasa hapo si ni wewe ndiye hujaelewa. Russia ina maslahi yake Syria na mifumo hiyo ipo kwa ajili ya kulinda maslahi hayo sio kugombana na nchi nyingine zenye uhasama na Syria.
 
Sasa hapo si ni wewe ndiye hujaelewa. Russia ina maslahi yake Syria na mifumo hiyo ipo kwa ajili ya kulinda maslahi hayo sio kugombana na nchi nyingine zenye uhasama na Syria.
Kwa hiyo ndo mana ndege za Myahudi au makobora dhidi ya Syria hazidhuri kwa uwepo wa mifumo hiyo Syria au sio.
 
Kwa hiyo ndo mana ndege za Myahudi au makobora dhidi ya Syria hazidhuri kwa uwepo wa mifumo hiyo Syria au sio.
Russia uwepo wake Syria unagusa maslahi ya Israel.
Kwasababu wanajeshi wa Syria wanapata misaada wa mafunzo na silaha toka kwa Russia.
Ikiwemo wanajeshi wa Iran pia.
Na mara nyingi Syria imekua iko launch attacks wa silaha hizo hizo za Russia.
Mbona hatukuona Israel ikishambulia Russia millitary post ndani ya Syria??
 
Back
Top Bottom