Iyerdoi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2012
- 2,717
- 3,895
Lina tegemea eti watampigia magoti Russia ili S-400 alizoweka hapo Syria kwa shughuli zake awaruhusu na wao Syria wadandie. Nguo ya kuazima au wataomba lift kwa Mrussi.Jeshi la Syria halina S400
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lina tegemea eti watampigia magoti Russia ili S-400 alizoweka hapo Syria kwa shughuli zake awaruhusu na wao Syria wadandie. Nguo ya kuazima au wataomba lift kwa Mrussi.Jeshi la Syria halina S400
⚡️ IMPORTANT: Currently, Tehran-Istanbul flights are being cancelled one by one. This development indicates that there may be Iranian retaliation tonight.La hasha. Huko wameshamaliza maandalizi imebaki tu kumsubiri mshenzi ajichanganye aoneshwe kilichomnyoa kanga manyoya.
Lina tegemea eti watampigia magoti Russia ili S-400 alizoweka hapo Syria kwa shughuli zake awaruhusu na wao Syria wadandie. Nguo ya kuazima au wataomba lift kwa Mrussi.
Ngoja tuone moto moto hapo middle east uzuri wa power is power huwa hainogeshwi na maneno ni vitendo tutaona nani mbabe je muiran au muisrael acha mrusi amtengeneze mmarekani proxy war kali hapo middle east ili yake yaende vizuri kule Ukraine.Unadhani myahudi kabla hajawatandika hakujua kama mtakuja na hizi ngonjera?
Myahudi yeye haongei zaidi, alishasema mara moja atawatafuta popote mlipo, leo anawadondosha mmoja mmoja popote mlipo, huyu hana utani anamaanisha anachokisema.
Na ujue tu; hicho cheo cha kiongozi mkuu wa Hamas sasa kinaenda kuwa sawa na "death certificate" kwa mtu yeyote atakayekubali kubeba hilo jukumu, ukiwemo wewe Ritz
Hao wa Iran wenyewe warembo tu, juzi tu Rais wao kadondoshwa huko wakasingizia ukungu, kwani ule ukungu ulikuja ghafla?!
Myahudi amewazidi akili na uwezo wa kijeshi, hili sina shaka nalo, ataendelea kuwacharaza kwa style zote atakazotaka, nyie chezeni na hizo bendera nyekundu tu.
Na kwa taarifa yako myahudi akiamua kuudondosha huo msikiti mlioweka hiyo bendera nyekundu hapo, anaweza kufanya hivyo dakika yoyote, kwa sasa anawatazama tu kama watoto wadogo.
Muiran anayepigwa mpaka chumbani kwake kumpiga myahudi ni ndoto ya mchana saa sita kamili, hili sina shaka nalo wala sitaki kujilisha matumaini ya uongo eti muiran anaweza kufanya jambo asiyejua hata kujilinda mwenyewe!.Ngoja tuone moto moto hapo middle east uzuri wa power is power huwa hainogeshwi na maneno ni vitendo tutaona nani mbabe je muiran au muisrael acha mrusi amtengeneze mmarekani proxy war kali hapo middle east ili yake yaende vizuri kule Ukraine.
Muiran anayepigwa mpaka chumbani kwake kumpiga myahudi ni ndoto ya mchana saa sita kamili, hili sina shaka nalo wala sitaki kujilisha matumaini ya uongo eti muiran anaweza kufanya jambo asiyejua hata kujilinda mwenyewe!.
Let's wait to become the true witnesses.⚡️ IMPORTANT: Currently, Tehran-Istanbul flights are being cancelled one by one. This development indicates that there may be Iranian retaliation tonight.
Let's wait to become the true witnesses.
Power is power let both of them use itMuiran anayepigwa mpaka chumbani kwake kumpiga myahudi ni ndoto ya mchana saa sita kamili, hili sina shaka nalo wala sitaki kujilisha matumaini ya uongo eti muiran anaweza kufanya jambo asiyejua hata kujilinda mwenyewe!.
Wairan siyo Waarabu.Hao waarabu wame panic, naona sasa wanamtisha mpaka Biden, kama hawawezi kujilinda wenyewe, hawawezi kuwalinda wageni wao, hao kwangu nawaona wako uchi, vyema watulie wafiche nyeti zao zisiendelee kuchakazwa.
The fact is, Netanyahu ahitaji ruhusa ya yeyote kuwatandika, anawatandika siku yoyote akiamua, muamerika atake au asitake, apende au asipende, this is how it is.
Hivyo wasipoteze muda wao, na vinguvu kidogo walivyonavyo kuongeza maadui, hawatawaweza, haya mambo ni zaidi ya propaganda ili kuwafurahisha raia wao.
Na wana bahati myahudi ni mstaarabu, anawadondosha specifically wale maadui zake, hana muda wa kupiga misitu au raia wasio na hatia unless maadui zake wakajifiche kwao, myahudi is so brave.
Hawa walokole wa JF wengi ni mambumbu kuna siku nimepita Kigamboni kuna kanisa lao wameweka bendera ya Israel namuuliza mmoja wao hiyo bendera ya Israel ya nini eti anajibu Israel ni nyumbani kwetu.Wairan siyo Waarabu.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Power is power let both of them use it
Inasikitisha na jamaa wamevuliwa nguo na wapo uchi wa mnyama mbele ya jamii za kimataifa. Hizi threads na comments za wajukuu wa allah humu JF ni za kujifurahisha tu. Hamna lolote lile.Muiran anayepigwa mpaka chumbani kwake kumpiga myahudi ni ndoto ya mchana saa sita kamili, hili sina shaka nalo wala sitaki kujilisha matumaini ya uongo eti muiran anaweza kufanya jambo asiyejua hata kujilinda mwenyewe!.
Inasikitisha na jamaa wamevuliwa nguo na wapo uchi wa mnyama mbele ya jamii za kimataifa. Hizi threads na comments za wajukuu wa allah humu JF ni za kujifurahisha tu. Hamna lolote lile.