Mzee mwinyi alisema "Mwendawazimu akikuvua nguo hadharani, chutama! Ukimkimbiza wewe ndio unaoneka huna akili! Iran inaonyesha uchi wake mbele ya hadhira ya ulimwengu! Trends kwenye news inaonyesha bomu liliwekwa ndani ya Guest ya Revolution Guards miezi miwili kabla! Just imagine, Guest wings ya Revolution Guards...Ni embarrassment kubwa! Yaani Israel in moles ndani IRGC..... Walikuwa wanajua Hannayeh atakuja na atalala wapi! Yaani ndani ya Revolution Guards kuna watu walikuwa wanajua kila kitu!
Sasa hiyo bendera nyekundu itasaidia nini! Inawezekana kabisa hao wanaopanga mashambulizi ndani kuna watu wa Mosad! Mwendawazimu akikuvua nguo hadharani usimkimbize! Chutama Iran.....huo ndio ushauri wa bure! Na hata wengekuwa wanapokea ushauri wasingefanya mashambulizi ya malipizi sasa hivi! Wengesubiri wake kufanya la kushtukiza!
Intelligence inataka subira....Israel imevuta subira ikampata Hanniey, Ushauri wa bure kwa Iran, Chutama kwa sasa kuficha aibu....Vaa nguo kimya kimya ndio ifanye counter attack ya kushtukiza baadaye! Shambulio lolote la sasa hivi halitaleta impact yoyote ile!
Ritz wape ushauri wa bure jamaa zako! Huwa wanafanya mambo kwa mhemuko tu! Mambo wengi wanayofanya Waarabu katika mapambano yao huwa ni ya jazba tu! Wengelikuwa na nchi yao leo, toka 1948 unaona Jazba ndio inawasukuma.......Waambie Wachutame kwa sasa....halafu wafanye kitu cha kustukiza baadaye! Israel ilipopanga Kumuua huyo jamaa inajua Iran itafanya nini, na wanajiandaa kwa hilo! Sio wajinga, na moles zao ndani ya Iran wanawapa information nini kinafanyika! Plosa jamaa yangu.