FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Hao ndiypo maana kina mwamposa wanawapuna kwa ujinga wao.Hawa walokole wa JF wengi ni mambumbu kuna siku nimepita Kigamboni kuna kanisa lao wameweka bendera ya Israel namuuliza mmoja wao hiyo bendera ya Israel ya nini eti anajibu Israel ni nyumbani kwetu.