Wanaukumbi.
"Kulipiza kisasi kwa damu ya Ismail Haniyeh ni jukumu letu kwa sababu mauaji yalitokea katika ardhi yetu" - Ayatollah Khamenei, Kiongozi Mkuu wa Iran.
Iran ilipandisha bendera nyekundu ya Kisasi kwenye jumba la msikiti wa Jamkaran.
View: https://x.com/iranobserver0/status/1818559913167049050?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
View: https://x.com/globeeyenews/status/1818604260600246730?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Tatizo lenu mnapenda midomo sana, endeleeni kushindana na aliyewazidi nguvu muone mtakavyochakazika, kama IDF anashambulia Lebanon na Iran kwa wakati mmoja hamjiulizi huyu myahudi uwezo wake ni wa kipekee?
Hawachelewagi hao. We subiria tu na lazma wamtaje USA.Msirudi kuanza kulia lia hapa mkianza pigwa
Watu watapita na kilemba hicho waanze kuhaha
Tatizo lenu mnapenda midomo sana, endeleeni kushindana na aliyewazidi nguvu muone mtakavyochakazika, kama IDF anashambulia Lebanon na Iran kwa wakati mmoja hamjiulizi huyu myahudi uwezo wake ni wa kipekee?
Kama sio watakuwa wamemalizwa jumla.Tatizo lenu mnapenda midomo sana, endeleeni kushindana na aliyewazidi nguvu muone mtakavyozidi kutandikwa, kama IDF anashambulia Lebanon na Iran kwa wakati mmoja hamuoni huyu myahudi uwezo wake ni wa kipekee?
Mpaka siku mtakapokubali myahudi ni habari nyingine, mtakuwa mmechelewa sana na mmeumizwa sana.
Unadhani myahudi kabla hajawatandika hakujua kama mtakuja na hizi ngonjera?
Msirudi kuanza kulia lia hapa mkianza pigwa
Halafu mwisho wa siku unapata nini ukifa? Kwani taratibu nyingine za kawaida zimeisha?Katiba mpya haipatikani kwa kukomaa kikamanda, kukunja ngumi na kuzungusha bali kwa kuitambua gharama yote na kuwa tayari kufa ikibidi.
Ayatolah Ritz hebu tuweke ushabiki pembeni kama kiongozi wa Hamas katafunwa kichogo kati kati ya Tehran sembuse hao Wahouth kweli?
Ameuliwa muasisi wa Hamas nini kimebadilka.Unadhani myahudi kabla hajawatandika hakujua kama mtakuja na hizi ngonjera?
Myahudi yeye haongei, anawadondosha mmoja mmoja, nyie mnaimba tu mapambio.
Hicho cheo cha kiongozi mkuu wa Hamas kinaenda kuwa death certificate kwa yeyote atakayetkubali hilo jukumu ukiwemo wewe@Ritz
Kuna vitu viwili kwenye uchumi kuhusu uzalishaji/production,comparative advantage na absolute advantage,jifunze hivyoRaisi anadondoka kwenye ndege iliyotengenezwa na Marekani😁😁😁
Cha kushangaza wanatumia mamilioni ya fedha kutengeneza mabomu, drone na silaha zingine za vita ila hawawezi kutengeneza ndege, TV, Simu, Operating system, Feni, friji, computer, radio n.k
Middle East na nchi zinazoamini ⭐🌙 wanawaza kuuana kila siku.