Iran ilipigwa ikapigia na Ayatollah kama sio huruma ya Trump ....

Iran ilipigwa ikapigia na Ayatollah kama sio huruma ya Trump ....

Atlast nimempata

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Posts
585
Reaction score
1,166
Screenshot_20250628_105608_X.jpg


View: https://x.com/nicksortor/status/1938647871361884347?t=nY3Bp7FRmCkZSn9grx3Fpg&s=19
 
Kama isingekuwa huruma ya Trump, kiongozi wao Ayatollah wangemla kichwa
 
Taifa la Mungu pamoja na Mungu wao walipigwa 🤣🤣mpaka waliongilia kati ,hawana mabomu ya kupiga alipo Ayatollah ,vile vinu tu vinawashinda
 
Watu waliona Mungu anachelewa wakaamua kuchonga Suez Canal wenyewe ili Uyahudi uhamie kwao.
 
Back
Top Bottom