Iran ilishambulia vikali na kuharibu mali na kambi za Marekani picha za satellite zaonyesha

Iran ilishambulia vikali na kuharibu mali na kambi za Marekani picha za satellite zaonyesha

son of a teacher

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2017
Posts
695
Reaction score
1,817
Mashambulizi ya Iran dhidi ya kambi za jeshi la marekani mashariki ya kati yameharibu vifaa na miundo mbinu 228 kwa mujibu wa picha za satellite zilizoachiwa.Idadi ya uharibifu ni mkubwa mno tofauti na ripoti zilizotolewa na makao makuu ya jeshi Centcom.

Wiki ya kwanza ya vita inaonyesha kambi 14 za marekani na baadhi ya installations za air defence ziliharibiwa na pia ndege vita ya iran ilishambulia kambi ya marekani Kuwait kwa mara ya kwanza ndege vita ya adui kushambulia kambi ya marekani katika historia.

Pia picha zimeonyesha target 100 zimepigwa kwenye kambi zote 11 mashariki ya kati na priotic na That'd 16 ziliharibiwa. Kulingana ya picha ya tarehe 14 April

Ripoti zinaonyesha mashambulizi yalilenga satellite communication site kwenye kambi ya al udeid Qatar ,Patriot missile defense equipment kambi ya Riffa na issa airbases Bahrain na ali Salem airbase kuwait,

Thaad missile defense radars kwenye kambi ya kijeshi ya muwaffaq nchini Jordan yaliharibiwa kambi ya prince salman nchini Saudi Arabia ilishambuliwa na kuharibu ndege vita na pia mashambulizi mengine kwenye kambi ya Al udeid Qatar yalionyesha uharibifu mkubwa wa satellite communication site.
 

Attachments

  • Screenshot_20260530_131246_Chrome.jpg
    Screenshot_20260530_131246_Chrome.jpg
    151.8 KB · Views: 23
  • Screenshot_20260530_131728_Chrome.jpg
    Screenshot_20260530_131728_Chrome.jpg
    148.9 KB · Views: 18
  • Screenshot_20260530_131837_Chrome.jpg
    Screenshot_20260530_131837_Chrome.jpg
    73.7 KB · Views: 18
Tunajua ndio mana Trump kavizuiya Vita front !!

kavipeleka vita kwenye MEDIA zaidi
 
Ndio vita vilivyo japo kuna propaganda nyingi sana lakini ndio sehemu ya vita vyenyewe. Huko Iran hali ni mbaya kuliko maelezo.
 
Ndio vita vilivyo japo kuna propaganda nyingi sana lakini ndio sehemu ya vita vyenyewe. Huko Iran hali ni mbaya kuliko maelezo.
Iran anapigana vita ya attrition kwa maana inafahamika military power ya USA ni kubwa sana na malengo ya Iran ni simple "ku-survive" , swali ni kwamba makombora ya iran yamewezaje kupenya dense network layer ya air defense ya USA na kusababisha uharibifu mkubwa wa kambi na ikiwemo rada ghari ya AN FPS 132, na kambi zingine kuharibika kiasi haziwezi kutumika?

Vita ya Iran imefanya washirika wengi wa USA kuanza kuhoji guarantee ya usalama kama hawezi kulinda kambi zake dhidi ya nchi yenye vikwazo vya kiuchumi kwa miaka 47, vipi washirika wa bara la asia siku mgogoro dhidi ya China ukitokea.

Mashambulio ya iran kuwait May 30, 2026 yameharibu drone mbili za mq 9 reaper na kujeruhi wanajeshi watano wa marekani

Ndio maana kansela wa Ujeruman alisema USA imedharirika kwenye hii vita, baada ya kauli Trump akamaindi na kuondoa wanajeshi 5000
 
Back
Top Bottom