Iran imepiga jengo la CIA Uarabuni, Marekani yailaumu Urusi kuwa imeisadia Iran Taarifa za kupiga

Teeh.

Akija atakwambia jengo la CIA halijapigwa.

Huyo ni mlokole wale wa kutembea na maspika na kucheza barabarani na vituo vya daladala.
Na wana matusi hao , wakiyafungulia unaweza usiamini macho yako
 
Attachments

  • Echolima1.jpg
    Echolima1.jpg
    253.9 KB · Views: 6
Wengi wanashindwa kuelewa kwa nn USA kaishutumu Rusia na China ,ukweli ni kwamba hao jamaa wana siri nyingi na wanajua wanakopatia hizo teknolojia...Hawa wenzenu kuna sehemu wanapatia hizo teknolojia ,then wanafundisha wengine, nyie endeleeni tu kuamini ni elimu ya darasani.
 
Sisi acha tu tuendelee kuuziana udongo,chumvi na mafuta ya upako.
 
Back
Top Bottom