Iran inajiandaa kuitwanga Israel

Wakirusha hata kombora moja niite haraka
 
Na Mandonga kaamka tena huku.
 
Toka nimewajua waarabu, ni vichwa ngumu ila wanaumizwa tu, Saddam, Gamal Abdel Nasser, Gaddafi, Assad, hiyo Iran hadi Rais wao kadngunguliwa ukiacha majenerali muhimu, yajayo yanafurahisha
Iran ni muajemi sio muarabu.
Pia ushahidi wa rais wao kuuliwa haukuthibitika usijiropokee hapa.
 
Shambulizi la Oktoba mosi mmelisahau mapema hivi!?
Iran ilirusha makombora zaidi ya 100 ndani ya Israel.
makobazi msije anza lia tena kama mwanzo. Maana mkivaa vipedo na kufuga ndevu akili mnaweka makalioni. Subiri milio tu kama mwanzo tulionya.
 
Hawana uwezo huo.
Wanatamani sana wafikie huko lakini hawana huo uwezo.
 

View: https://youtube.com/shorts/ihKRVDBp7CE?si=vD4d9Bk-xVOaf-Re
Ujumbe wa Rais wa Iran ndio huo hatuwezi kukubali ujinga wa USA kutaka tusiwe na Nuclear ili Israel aje aturushie moboom kwenye vichwaa vyetu
 
Iran sasa wanatafuta kujichimbia kaburi wenyewe.
 
Toka nimewajua waarabu, ni vichwa ngumu ila wanaumizwa tu, Saddam, Gamal Abdel Nasser, Gaddafi, Assad, hiyo Iran hadi Rais wao kadngunguliwa ukiacha majenerali muhimu, yajayo yanafurahisha
Iran sio Waarabu, rudi shule!
 
vamos IRAN vamos
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ