Iran inajiandaa kuitwanga Israel

Iran ni muajemi sio muarabu.
Pia ushahidi wa rais wao kuuliwa haukuthibitika usijiropokee
Lugha ya mwarabu ni lugha ya pi
Iran ni muajemi sio muarabu.
Pia ushahidi wa rais wao kuuliwa haukuthibitika usijiropokee hapa.

Kwa Kutumia neno waarabu nilimaanisha lugha ya picha mbayo wengi wanaelewa kwa urahisi, pili kuhusu kuthibithika nenda kajifunze kuhusu dhana ya ushahidi wa mazingira au Circumstancial evedence
 
Hivi Ebrahim Raisi, Yuko wapi, baada ya kudunguliwa hao watishia nuclea walifanya nini, kulialia tu
 
Na Marekani yajiandaa kuisaidia Israel, tuone mshindi ni nani.
 
Lugha ya mwarabu ni lugha ya pi
Nchi za Kiarabu na Lugha zao ni kiarabu

Saudi Arabia

Yemen

Oman

Qatar

UAE

Kuwait

Bahrain
========
Iran, Afghanistan na Tajikistan hawa wote si waarabu na wala hawazungumzi kiarabu bali Kiajemi.
 

๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ Mbona hawataji Hezbolla wala Hamas?
 
๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ Mbona hawataji Hezbolla wala Hamas?
Israel hajawahi kushinda vita yoyote ile na Hezbollah, vivyo hivyo Hezbollah haijawahi kushinda vita yake na Israel bali huwa wanaishia kusitisha mapigano tu na pande zote mbili kupata hasara.

Kuhusu Hamas toka kuanza harakati zake hawajawahi kushinda wala kushindwa vita na jeshi la Israel.

Ulitaka awataje kwa faida gani, wakati jeshi linayumbishwa na migambo kila siku?
 
Wakianza tu, utasikia Ayatollah Kafariki.

Kisha utasikia wanaanza kufa wanawake na watoto.

Wawaondoe wananwake na watoto, kabla vita haijaanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ