Iran inajiandaa kuitwanga Israel

Tuone vijana wa Kizanzibari wakiandamana kupinga ndugu zao kuuliwa usiku huu.
 

View: https://x.com/IsraeliPM/status/1933329728246534596
Msikilize Nabii
 

View: https://x.com/manniefabian/status/1933342016613564694
Kwenye hii picha kadhaa ni RIP
 
Safi sana, hivi huko Zanzibar bado wananchi hawajaanza kujiandikisha kwenda Iran kujilipua kusaidia ndugu zao wasiowatambua?
 
Kati ya kosa la karne watakuja fanya basi ni hilo, kitakachofuata mpaka naogopa
Wa Israel sio wajinga wamesha research kila KITU.

Mtu anaenda kugeuzwa kua kama IRAQ ni Jambo la mudaa tu maana for years IRAN imekua inaji mwambafy kua ni super power kwenye medani ya vitaa

Kwani kiduku anasemaje

Yetu macho na MASIKIO
 
Hii habari inatusaidiaje kupunguza deni la taifa?
 
Nchi za Kiarabu na Lugha zao ni kiarabu

Saudi Arabia

Yemen

Oman

Qatar

UAE

Kuwait

Bahrain
========
Iran, Afghanistan na Tajikistan hawa wote si waarabu na wala hawazungumzi kiarabu bali Kiajemi.
Pakistan ipo kundi gani? Maana zamani ilikua sehemu ya India.
 

Jamaa yako Sinoni si ndiyo huyu aliyekwisha uawa

 
Bado inajiandaa?
Iangalie wasijefia ktk maandlizi.
Wapigane wamalizane tungakie ustaaran mwingine.
 
Tayari kobazi anaomboleza, Israel ije na huku itutolee kobazi yuko pale ikulu ambaye ana lengo la kuungamiza ukristo Tanganyika
 
Iran chama langu nawaaminia, japo najua kuna mamluki kibao hapo middle east wanambeba Mzayuni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…