Iran inajiandaa kuitwanga Israel

Wakati wanajiandaa ndio wamepigwa hahaha
 
Hizo nuclear facilities za Iran ni hatari pia kwa Wairani wenyewe. Zikilipuliwa Hizo madhara ni makubwa sana na yatadumu kwa miaka mingi ijayo.
 
Safi sana idf mazeee, makobaz yanazidi kupelekeea motooo, show za hatareee, ayatolah anafatia hivi karibunii
 
Nyinyi kobazi vichwa maji sana; nakumbuka tuliishaga waambia humu kuwa
1. Hezbollah akijichanganya tu kwenye vita ya Israel na Hamas ajue ndiyo mwisho wake. Mlibisha
2. Tukawaambia pia kuwa Iran anachezea moto kwa kuchochea uangamizo wa Israel kupitia Hezbollah na Hamas na kwa anajiweka kwenye maangamizi yeye mwenyewe. Mkaona kama utani
Haya sasa leo kilichoipata top brass ya Hezbollah ndiyo kimewapata makomanda wa juu wa Jeshi la Anga la Iran

View: https://x.com/NiohBerg/status/1933496380384833631
 
Tulia wewe mchele mchele, kauli mbiu yetu ni kuwa hiishi mpaka iishe!
Hakikisha unabando la kutosha, Tel Aviv leo inageuzwa kifusi!
 
Nakuunga mkono
Mzee wa kazi usibabaishwe na hizi mbwembwe za Mzayuni, huyu Mzayuni ni lazima atachapwa tu.
Watu wako wanamalizia maandalizi, Netanyahu mwenyewe yupo uhamishoni saa hii, anajua kifuatacho ni cheche!
 
Mkuu labda ungesema baada ya Iran kutwanga.....halafu uendelee na statement yako....Ndege 200 za Israel mmeangusha moja, hiyo sio kutwangwa kweli....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ