mkulimamiwa
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 2,591
- 5,315
Watanzania ni watu hatari na hamstahili kusikilizwa na sitahili yenu ni kulaaniwa kabisa
Wakati wa tetesi za vita kabla ya vita inayoendelea
Watanzania wengi hasa kutoka Misikitini, walikuwa wanaipamba Iran kwa mapambio ya kuogofya
Eti Iran viwango vyake kimedani za vita, imevuka viwango vya kutishiwa na ama kupigwa na Marekani na kwamba, Iran anaweza kumpiga baba na mwana, wakimaanisha, USA na Israel
Kwa Yanayofanyika sasa huko Iran, laana kubwa iwafikie popote walipo hawa wachpnganishi na wasipenda ukweli
Iran iliyosifiwa kwa miaka mingi ndo ya kuuliwa viongozi wake wakuu kama kuku wa broila?
Watanzania hasa wa Misikitini, achaneni na uchochezi