Iran inataka kushambulia Pwani ya Magharibi ya Marekani kama kulipiza kisasi kwa mashambulizi ya Marekani

Iran inataka kushambulia Pwani ya Magharibi ya Marekani kama kulipiza kisasi kwa mashambulizi ya Marekani

Ozon

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2024
Posts
2,910
Reaction score
4,711
Ripoti zinasema kuwa FBI imetoa tahadhari kwa vyombo vya usalama katika jimbo la California kwamba Iran inaweza kufanya shambulio la kulipiza kisasi dhidi ya Marekani.

Inaelezwa kuwa shambulio hilo linaweza kutumia ndege zisizo na rubani (drones) zinazoweza kurushwa kutoka meli isiyojulikana baharini karibu na pwani ya Marekani.

Hata hivyo, maafisa wa usalama walisema hakuna taarifa maalumu kuhusu muda, eneo au shabaha ya shambulio hilo, na hakuna tishio lililothibitishwa kwa sasa.

ABC News
 
Venezuela off board hapo anafikaje fikaje?
 
Iran anapiga piga tu kama mwenda wazimu, Leo kashambulia Iraq. Huyu ni wakumzingira ale kichapo heavy
 
Hapa naona Iran inataka kubebeshwa mzigo usiokuwa wake. Nilipoona Marekani kaiga(copy) drone ya Iran ile ya Shahid na yeye America kuiita yake Lucas. Nikasema hapa hajaikopi hii bure Marekani ana lake.
 
Back
Top Bottom