Hapana, sio fake. ABC News iliripoti kwamba FBI ilitoa tahadhari kwa polisi wa California.Taarifa ya kusisimua sana japo sidhani kama inaukweli.
Basi hilo shambulizi likifanikiwa nitagaragara kwa furaha.Hapana, sio fake. ABC News iliripoti kwamba FBI ilitoa tahadhari kwa polisi wa California.
Amka utakunya kitandani.....Iran anapiga piga tu kama mwenda wazimu, Leo kashambulia Iraq. Huyu ni wakumzingira ale kichapo heavy