Iran inawasaka askari wa Marekani waliokimbia kambi zao na kujificha mitaani na kwenye mahoteli arabuni kote

Iran inawasaka askari wa Marekani waliokimbia kambi zao na kujificha mitaani na kwenye mahoteli arabuni kote

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
10,509
Reaction score
16,734
Muungano wa majeshi ya Iran na walinzi wa mapinduzi ya kiislamu wa IRGC,umesema Iran haipigani na nchi yoyote ya kiarabu ambao ni ndugu na majirani zao,bali wanachofanya ni kupiga maslahi ya Marekani pamoja na kupiga kambi zao za kijeshi ambapo hakuna nchi ya kiarabu ambayo haina kambi kama hizo wakiona kama ndio walinzi wao.

Katika kuyapiga makambi ya jeshi ya Marekani ikiwemo ile kubwa yao ya AL Udeir.Iran imefanikiwa sana kwenye kampeni yake hiyo kwani inaaminiwa askari wote wa Marekani wamekimbia makambi hayo baada ya kupigwa sehemu nyeti za kambi hizo kama vile mawasiliano na kuzifanya zisiweze kuhudumia maisha na shughuli za kijeshi.

Askari hao wasiopungua 50.000 nchi zote za Ghuba kwa sasa wamehifadhiwa kwenye mahoteli na majumba mengine ya miji hiyo.Hivyo Iran imetoa wito kwa wananchi wa ghuba kuwafichua askari hao ili kuepuka kushambuliwa maeneo yao isipokuwa iwapo watajisalimisha kwa IRGC.
 
Kisheria Askari wa USA ni Magaidi wametoka uko kuja kwenye eneo kuleta Ugaidi + Ujambazi hakuna zaidi.. wawakamate wakawanyonge tu.shubamit
 
Kisheria Askari wa USA ni Magaidi wametoka uko kuja kwenye eneo kuleta Ugaidi + Ujambazi hakuna zaidi.. wawakamate wakawanyonge tu.shubamit
Wametoka makwao kilomita elfu kadhaa kuja kufanya ujambazi Uarabuni,
 
Back
Top Bottom