Iran Infinity Jihad

Iran Infinity Jihad

Iran taifa la kiislam, taifa lililojibebesha majukumu ya kulifuta taifa la Israel katika uso wa dunia kama njia mojawapo ya kutekeleza majukumu ya Uislam wa kweli.

Hili bandiko ni kwa ajili ya waislam wote Duniani wanaokubaliana na mtazamo wa Iran! Kuna maswali nataka waulize.

Baada ya Irani kumalizana na Israel, mnafikiri atatulia kwa amani?

Kama jibu lako ni Ndiyo, basi inabidi ubadilishe mtazamo wako kutokana na point zifatazo.

Katika historia ya mwanadamu Maamuzi yaliyofanyika kwa chuki siku zote hayaleti amani ya kudumu, mfano mzuri wa kujifunza fuatilia matukio yaliyofanywa na serikali ya kikomunist ya Soviet. Pale tu Irani itakapomalizana na Israel itaanza kushughulikia watu wa dini nyingine tofauti na waislam wanaoishi uarabuni, wakimaliza hapo watahamia kwa waislamu ambao wao wanaona hawafwati ipasavyo dini kama ilivyoelezwa na mtume, wakimaliza hapo wana kazi ya kusafisha waislam ambao ni Sunni.

Irani ni taifa lililoamua kuishi kwa misingi ya chuki na visasi kitu ambacho kipo tofauti kabisa na mafundisho ya msingi ya dini za kiislam na kikristo. Sasa waislam wa Sunni mnafikiri mpo salama, mkumbuke hapo zamani katika vita za wenyewe kwa wenyewe mliuwa kiongozi wa Shia Ali Ibn Abi Talib kifo ambacho hawajasahahu. Hivyo watahitaji kubomoa uongozi wenu kama malipizi, kwani Iran inaamini yenyewe ndiyo kiongozi wa dini ya Uislam na sio Saudia.

Hii vita visivyoisha vinavyoendekezwa na Irani ni chukizo kwa binadamu yoyote aliye timamu. Uhalisia unaonyesha matokeo mabaya pale watu wenye itikadi kali ya Uislam wanapotaka misingi yao ifwatwe, tulishuhudia kule Kibiti jinsi mashehe walivyo uliwa kikatili kisa tu kutokukubaliana na itikadi kali. Sasa kama wewe unakuwa muislam wa kweli kipindi cha Ramadhani tuu, inabidi ujitafakari kama kweli utaweza endana na mifumo asili ya dini yenu, la sivyo utapondwa bichwa hilo kwa mawe na Waislam wenzako.

Umekuwa msemaji wa wairani au ??
 
Uislamu haujatajwa popote kwenye Biblia.
Ujio wa Kristo umetajwa kote kwenye agano la kale, ila mohammed na dini yake hawakutajwa popote, kaibuka huko jangwani na mapepo yake na kuandika kitabu na kusema dini yake ndio ya kweli, tena miaka 500 baada ya Kristo.

Tuwekee aya ujio wa Kristo katika agano la kale , please
 
Mkuu, Shetani huwa ni mwislamu,kwa hiyo huwezi kuutenga Uislamu na Shetani

mbona huyu mliyemfanya mungu alibebwa na huyo shetani ?+

1713026368244.jpeg
 
Tatizo uislamu wenyewe umebuniwa na muarabu juzi, miaka 500 baada ya Yesu, huyo muarabu akaanza kwa kuchinja na kulazimisha watu hiyo dini yake, hivyo hiyo waliyomwaga tangu uasisi wa hiyo dini ndio unawatafuna hadi leo.

Ndivyo ilivyoandikwa kwenye biblia yako ya QJV
 
Leo Biden ameulizwa swali kuhusu Iran kuishambulia Israel ametowa jibu moja tu "Don't".

Sasa Waislamu kote duniani waambieni Iran mapema, hatutaki kuona maandamano baadaye ya Free Iran Mmarekani atakapoanza kuitia adabu Iran huku Israel ikiigeuza majivu Tehran.

Israel imeshaweka wazi imejiandaa kujilinda na kushambulia.

Waislamu muda wenu ni huu wa kuinusuru Iran, hatutaki kusikia kelele baadaye.

Dr Matola umekuwa msemaji wa Israeli ??
 
Irani taifa teule, go go IRGC tuko pamoja na nyinyi hata mkiuliwa nyote.
 
Hakuna anaehitaji vita iwe Israel ama Iran kwasasa.
Ni ngumu kudhani kuwa Israel inahitaji kuanzisha Vita na Iran kwasasa wakati ambao wanavita nyingne na hamas. Iran nae hawezi thubutu kuishambulia Israel direct maana kufanya hivyo itakuwa ni mwanzo wa anguko la Utawala wao.
Is more likely kuwa iran itajibu lakini si kwa njia ya makabiliano moja kwa moja na Israel.
Proxy war Inatija zaidi kwa Iran na sio direct War.
Israel wana vita 3 wakati wote
 
Back
Top Bottom