Iran itawachukua miezi michache kurudi kwenye moango wao wa nyuklia-Grossi

son of a teacher

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2017
Posts
695
Reaction score
1,817
"Wanaweza kurudi kurùtubisha uranium ndani ya miezi michache licha ya USA na Israel kushambulia kwenye miundo mbinu ya Nucleur.

Taasisi ya Atomiki Duniani chini ya director wake amesema miundo mbinu ambayo imeharibiwa siyo yote na hivyo Iran itamchukua miezi michache kurudi kwenye urutubishaji tathmini hiyo inaenda sambamba na shirika la kijasusi la pentagon DIG ambao walisema Iran itawachukua miezi michache kurudi kwenye mpango huo

Licha ya rais wa marekani kudai wameharibu kila kitu bila ya kutoa ushahidi kamili
Screenshot_20250629_143847_Chrome.jpg
 
"Wanaweza kurudi kurùtubisha uranium ndani ya miezi michache licha ya USA na Israel kushambulia kwenye miundo mbinu ya Nucleur.

Taasisi ya Atomiki Duniani chini ya director wake amesema miundo mbinu ambayo imeharibiwa siyo yote na hivyo Iran itamchukua miezi michache kurudi kwenye urutubishaji tathmini hiyo inaenda sambamba na shirika la kijasusi la pentagon DIG ambao walisema Iran itawachukua miezi michache kurudi kwenye mpango huo

Licha ya rais wa marekani kudai wameharibu kila kitu bila ya kutoa ushahidi kamiliView attachment 3388405
Kuna tamaa na hali halisi. Hii yako ni tamaa.

Iran anaweza kurutubisha madini hayo kwa matumizi ya kijamii na siyo ya kijeshi. Kwa akili za kina Ayatollah kuwaruhusu kuwa na nuclear weapons ni kuiangamiza dunia. Ikiwa leo tu ukiwa wa imani tofauti na wao. Uhai wako hauna thamani machoni kwao. Ndiyo ije wawe na nuclear weapons ?!. Hakuna atakayeruhusu hilo.
 
Unamdanganya nani wewe poyoyo!?
Unadhani Dunia haijui kama waajemi hawana tabu na sio hatari kwa yeyote?
Kama wangekua ni watu hatari mbona mabwana zenu wayahudi wapo wanaishi Iran na Wana uraia qa Iran na wanaabudu uyahudi??
Kwanza Ayatollah Khamenei alishakataza uundaji wa nukes pale Iran,hata Mr.Grossi alisema hilo.
Ndio ujue Iran ni watu wa amani.
Kama wangetaka supreme leader angewaamuru haraka sana ila aliwakataza licha ya kuwa uwezo wanao.
Siku nyingine ukome kuropoka kwa munajili wa kidini.
 
Shida ya IRAN ni kuongea sana...
Wangefanya programu zao kimya kimya leo hii wangekuwa na NUCLEAR....

kila siku wanaweka wazi malengo yao
 
"Wanaweza kurudi kurùtubisha uranium ndani ya miezi michache licha ya USA na Israel kushambulia kwenye miundo mbinu ya Nucleur.

Taasisi ya Atomiki Duniani chini ya director wake amesema miundo mbinu ambayo imeharibiwa siyo yote na hivyo Iran itamchukua miezi michache kurudi kwenye urutubishaji tathmini hiyo inaenda sambamba na shirika la kijasusi la pentagon DIG ambao walisema Iran itawachukua miezi michache kurudi kwenye mpango huo

Licha ya rais wa marekani kudai wameharibu kila kitu bila ya kutoa ushahidi kamiliView attachment 3388405
kobazi akili zao wanazijua wenyewe kama hawajali uhai wao wanaweza kutumia nuklia dhidi ya Israel
 
Back
Top Bottom