son of a teacher
JF-Expert Member
- Jul 30, 2017
- 695
- 1,817
Kuna tamaa na hali halisi. Hii yako ni tamaa."Wanaweza kurudi kurùtubisha uranium ndani ya miezi michache licha ya USA na Israel kushambulia kwenye miundo mbinu ya Nucleur.
Taasisi ya Atomiki Duniani chini ya director wake amesema miundo mbinu ambayo imeharibiwa siyo yote na hivyo Iran itamchukua miezi michache kurudi kwenye urutubishaji tathmini hiyo inaenda sambamba na shirika la kijasusi la pentagon DIG ambao walisema Iran itawachukua miezi michache kurudi kwenye mpango huo
Licha ya rais wa marekani kudai wameharibu kila kitu bila ya kutoa ushahidi kamiliView attachment 3388405
Unamdanganya nani wewe poyoyo!?Kuna tamaa na hali halisi. Hii yako ni tamaa.
Iran anaweza kurutubisha madini hayo kwa matumizi ya kijamii na siyo ya kijeshi. Kwa akili za kina Ayatollah kuwaruhusu kuwa na nuclear weapons ni kuiangamiza dunia. Ikiwa leo tu ukiwa wa imani tofauti na wao. Uhai wako hauna thamani machoni kwao. Ndiyo ije wawe na nuclear weapons ?!. Hakuna atakayeruhusu hilo.
kobazi akili zao wanazijua wenyewe kama hawajali uhai wao wanaweza kutumia nuklia dhidi ya Israel"Wanaweza kurudi kurùtubisha uranium ndani ya miezi michache licha ya USA na Israel kushambulia kwenye miundo mbinu ya Nucleur.