Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 11,253
- 15,070
- Thread starter
-
- #21
Tazama hospital inavyo ungua wacha wapige tena hospital kule IranTV yenyewe unawashia battery za n70 huko kimbiji.
Sasa hayo ya Irani unayajulia wapi
Nakubaliana na wewe na sio US tu pekee na EU wamo humo.. plus nchi jirani za kiarabu ikwemo Qatar, Saudia na Jordan..Ndugu hata US yupo ndani ya vita hii ya kujidai itaingia wanamtisha Iran. Lakini Iran anasubiri atangaze official kaingia ili asambaratishe base zake zote pale Middle East.
Hata baharain. Morocco. UAE wapo wanamsaidia Israel.Nakubaliana na wewe na sio US tu pekee na EU wamo humo.. plus nchi jirani za kiarabu ikwemo Qatar, Saudia na Jordan..
Wacha we haya mwache aendelee kupiga civilian area kule Iran ndio mtajua Iran sio Gaza hahahaNINYI MTAANZA KULAANI VITENDO VYA ISREL KESHO AHSUBUHI WAKATI LEO MNAMSIFIA IRAN.... mtasahau kuwa mwana kulifind .....
Daima Israel huanza kwakupigwa kipigo cha mbwa koko ...
Wengi humsuta na kumsema kuwa amekuwa nyanya.
Akigeuka nakuonyesha makucha yake vizuri. Mnaanza kusema anafanya ushetani.
Nakumbuka vita na Hamasaki ilipoanzishwa .. Israel ilipoteza raia zaid ya 1000 mkasema haijawah tokea, sasa hiyo ni ishara kuwa kiama chao kimefik.
Saiv mmehamia kumsifia Iran,
Na nasema mtakua wa kwanza kupost posters za STOP GENOCIDE IN IRAN .
Alikuambia nani kuwa Israel anatumia nguvu zake zote? Hujui ana Nuclear pia?Wewe unaambiwa ukweli...
Hivi unaweza kujibu kwanini Trump anaweka vikao kila muda kutaka kuingilia hii vita?
Unaelewa hilo ni kwanini?
Ni kwa sababu Israel inazidiwa, ADs zimekuwa exhaust kwa kuzifanyisha kazi ngumu mfululizo usiku na mchana kuzuia hypersonic ambazo hazizuiliki... pia Israel wanaishiwa interceptors za ADs.. soon Israel haitoweza kuzuia mashambulizi..
Kingine kuipiga Iran ni mpaka US, EU na Israel wapeleke infrantry... na hapo hawatoweza...
Israel kaua high ranking officers wa Iran lakini Iran ime recover haraka na ni kitu kime wa surprise Israel...
Ni sawa na unamnyemelea adui yako unayejua ana nguvu kukuzidi, unataka kum time kwa kumpiga na kitu kizito kichwani ili afe, ajabu unampiga kichwani lakini humpati vyema, anaamka na majeraha kidogo na kuanza kupambana na wewe, hapo lazima uombe msaada, and that is what happens in Middle East...
Netanyahu kila siku anaomba US aingie... kumbuka Israel inatumia nguvu zake zote na resources zake zote kwa sasa... kasoro nuclear..
Israel bila USA na Britain haiwezi Hata kumudu battle na somaliaHaya ni mawazo ya upande mmoja tu. Trump anafanya vikao si tu kwa ajili ya vita, bali pia kwa maslahi ya kisiasa na kiuchumi ya Marekani.
Kuingilia mizozo ya Middle East ni mbinu ya kawaida ya Marekani kudumisha ushawishi wake eneo hilo na kuzuia maadui wa kimataifa kuimarika.
Israel si dhaifu kama unavyodai; ina msaada mkubwa wa kijeshi na kiufundi kutoka Marekani. Pia, vita si tu kuhusu nguvu za kijeshi, bali ni siasa, diplomasia, na ushawishi wa kanda. Trump anajua hili, na vikao vyake ni sehemu ya mchezo mkubwa wa geopolitics, sio tu kuokoa Israel kama unavyosema.
umemaliza kila kitu kichaka cha walokole middle east kinavuliwa nguo trump mipasho tuWewe unaambiwa ukweli...
Hivi unaweza kujibu kwanini Trump anaweka vikao kila muda kutaka kuingilia hii vita?
Unaelewa hilo ni kwanini?
Ni kwa sababu Israel inazidiwa, ADs zimekuwa exhaust kwa kuzifanyisha kazi ngumu mfululizo usiku na mchana kuzuia hypersonic ambazo hazizuiliki... pia Israel wanaishiwa interceptors za ADs.. soon Israel haitoweza kuzuia mashambulizi..
Kingine kuipiga Iran ni mpaka US, EU na Israel wapeleke infrantry... na hapo hawatoweza...
Israel kaua high ranking officers wa Iran lakini Iran ime recover haraka na ni kitu kime wa surprise Israel...
Ni sawa na unamnyemelea adui yako unayejua ana nguvu kukuzidi, unataka kum time kwa kumpiga na kitu kizito kichwani ili afe, ajabu unampiga kichwani lakini humpati vyema, anaamka na majeraha kidogo na kuanza kupambana na wewe, hapo lazima uombe msaada, and that is what happens in Middle East...
Netanyahu kila siku anaomba US aingie... kumbuka Israel inatumia nguvu zake zote na resources zake zote kwa sasa... kasoro nuclear..
Acha uongo unaongea hisia na mawazo yako tu. Iran hamuwezi Israel hata punje ya mtama. Mshindi ni Israel lazima Israel ishindeWewe unaambiwa ukweli...
Hivi unaweza kujibu kwanini Trump anaweka vikao kila muda kutaka kuingilia hii vita?
Unaelewa hilo ni kwanini?
Ni kwa sababu Israel inazidiwa, ADs zimekuwa exhaust kwa kuzifanyisha kazi ngumu mfululizo usiku na mchana kuzuia hypersonic ambazo hazizuiliki... pia Israel wanaishiwa interceptors za ADs.. soon Israel haitoweza kuzuia mashambulizi..
Kingine kuipiga Iran ni mpaka US, EU na Israel wapeleke infrantry... na hapo hawatoweza...
Israel kaua high ranking officers wa Iran lakini Iran ime recover haraka na ni kitu kime wa surprise Israel...
Ni sawa na unamnyemelea adui yako unayejua ana nguvu kukuzidi, unataka kum time kwa kumpiga na kitu kizito kichwani ili afe, ajabu unampiga kichwani lakini humpati vyema, anaamka na majeraha kidogo na kuanza kupambana na wewe, hapo lazima uombe msaada, and that is what happens in Middle East...
Netanyahu kila siku anaomba US aingie... kumbuka Israel inatumia nguvu zake zote na resources zake zote kwa sasa... kasoro nuclear..
Sawa, kesho njoo ukoment haya maneno yako tenaumemaliza kila kitu kichaka cha walokole middle east kinavuliwa nguo trump mipasho tu
Propaganda ni sehemu ya vitqIran jana kamtembezea kichapo Israel hakijawahi kutokea maisha yake na kawafikishia message US kabla ya Israel hakuna cha Red Line kwenye vita hi.
Israel alizowea kupiga Hospital kule Gaza na kaenda kupiga Hospital Iran alidhani Iran hata jibu kwa kupiga Hispital jana kapiga Hospital kule Israel.
Iran jana kaonyesha wazi ushindi wanao tangaza US na Israel ni wa propoganda tu, wako wajinga walio sema Iran kaishiwa Missiles wako waliosema hana uwezo wakurusha Missiles kama mwanzo wako wapi.
Alianza jana kuwarushia Missiles 3 afu akawacha waone kama hana uwezo wakurusha Missiles kwa wingi kilicho tokea badaye ni kipigo cha mbwa koko hakijawahi kutokea.
Israel aliamini wanacho sema Iran kipigo cha jana kuamkia leo kitakuwa kikubwa sana wakazuia media na watu wasirecords video vipi Missiles za Iran zinashuka kama mvua hahaha
View: https://youtu.be/ZY3JpIoh1ho?si=FXwy133KLuw3-Lot
View: https://youtu.be/ztzrGMc8VQ4?si=zXxQGoiKnmLfnjy_
Police wanazuia media wasiende sehemu zilizo pigwa vibaya sana kuficha aibu
View: https://youtu.be/qQfw1yGj_Uo?si=G4loIV9abfMbEyBK
Hi video ime link walizibana hahahaumemaliza kila kitu kichaka cha walokole middle east kinavuliwa nguo trump mipasho tu
Mwambie aitumie basi kama yeye mwanaume hahaha Nuclear ni mapambo tu anajua kitakacho mkuta akitumia Nuclear. Ingekuwa ni easy kutumia Nuclear kama unavyo ropoka hata Gaza walitaka kupiga kitu gani kimewazuia. Tazama taifa teule la uongo linavyo pelekewa moto. Yuko wapi Mungu mnaye sema anamlinda Israel si tunacho ona analindwa na taifa la kishetani USAAlikuambia nani kuwa Israel anatumia nguvu zake zote? Hujui ana Nuclear pia?