Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,074
- 27,490
Kwani wewe uko Tel Aviv? Habari unazoleta wewe ziaminike akileta mwingine unamuuliza uko Tehran. Kila media inaonyesha uko hapa kukaza fuvu tu.We dogo upo Tehran mpaa ukasema kalenga Nuclear site for your information kusha failed Nuclear ya Iran iko vile vile anapiga mabanda tu ya nje ya Nucler.
Hebu punguza kupanik unatukana bila sababu utafikiri ni mimi ndio nakufunyua. Eti walikua Civilian area hivi mnadhani humu ndani kuna watoto mnaowadanganya danganya uko mitaani kwenu? Inteligency aliyonayo anakupiga halafu yeye ndio anaanza kutangaza nimeua watu fulani kadhaa baadae Iran ndio akaja ku confirm. Israel asingesema msingezipata hizi habari.Sa we kama ni mjinga baki na ujinga wako ngojea nikufamishe wale macommader wa Iran alio wauwa walikuwa kwenye civilian area, pia kapiga tv station
Narudia vita ni mkakati na mkakati huo unatekelezwa vyema sana na IADF. Sasa mkurupuko aliona Iran lazima IDF wauweke wazi raia wake wafahamu. Nyie hii ndio mnaita analiakapiga Hospital umeona damaged ya majumba alio piga Iran leo ndio mnalia eti Iran anapiga civilian area hahaha.
Sina time ya kupoteza na wajingaKwani wewe uko Tel Aviv? Habari unazoleta wewe ziaminike akileta mwingine unamuuliza uko Tehran. Kila media inaonyesha uko hapa kukaza fuvu tu.
Hebu punguza kupanik unatukana bila sababu utafikiri ni mimi ndio nakufunyua. Eti walikua Civilian area hivi mnadhani humu ndani kuna watoto mnaowadanganya danganya uko mitaani kwenu? Inteligency aliyonayo anakupiga halafu yeye ndio anaanza kutangaza nimeua watu fulani kadhaa baadae Iran ndio akaja ku confirm. Israel asingesema msingezipata hizi habari.
Narudia vita ni mkakati na mkakati huo unatekelezwa vyema sana na IADF. Sasa mkurupuko aliona Iran lazima IDF wauweke wazi raia wake wafahamu. Nyie hii ndio mnaita analia
Huh😂 haujapata ulichotarajia. Ulidhani JF wote ni mnalingana akili mnaweza kuwadanganya unavyotaka. Unapewa ukweli unakasirika na hii ndio hata nature ya huko mnakotetea.Sina time ya kupoteza na wajinga
Wewe una akili gani unacho ongea unasema yote uwongo. Israel hakupiga civilian area Iran? Wale Scientist ni wanajeshi? Tv station vipi unaongea ujinga afu unajidai una akili. Ongea fact Missiles za Iran zinapiga target za kijeshi hapo Tela Aviv lazima apige kuna stock market kuna office za Mossad na Company nyingi zinahusiana utengenezaji wa silaha, Radar na etc.Huh😂 haujapata ulichotarajia. Ulidhani JF wote ni mnalingana akili mnaweza kuwadanganya unavyotaka. Unapewa ukweli unakasirika na hii ndio hata nature ya huko mnakotetea.
Trump naye anataka kuingia front mda si mrefuJibu lipo wazi aliyepigwa anaomba msaada anasema leo kipigo kwake kesho New York city
😀😀😀Ukiona MK254 hajapandisha Uzi siku Nzima jua tu mwisrael mwenzake ana hali mbaya, huyu zayuni wa madimba ana mahaba na ndugu zake balaa.