Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Naona haijaanza kutumia yale makombora yake ya masafa marefu mpaka sasa. Inasubiri nini? Marekani imeharibu sana Iran.
Iran ya sasa inatembea kwa magongo, inachechemea. Siyo Iran ya miezi 10 iliyopita. Mambo yameharibika sana kijeshi.
Sasa nawaza je huu si wakati muafaka wa kuishambulia Marekani moja kwa moja? Inawachelewesha nini?