Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Kama yameteketezwa?Naona haijaanza kutumia yale makombora yake ya masafa marefu mpaka sasa. Inasubiri nini? Marekani imeharibu sana Iran.
Iran ya sasa inatembea kwa magongo, inachechemea. Siyo Iran ya miezi 10 iliyopita. Mambo yameharibika sana kijeshi.
Sasa nawaza je huu si wakati muafaka wa kuishambulia Marekani moja kwa moja? Inawachelewesha nini?
Iran kaonyesha ni kwa namna gani mwanaume unapaswa uwe na misimamo , mpaka sasa iran ni mshindi bila kujalisha chochote na dunia yote imejua hilo
Tulikubaliana kuwa yapo meeeengi ameyaficha na yale yaliyolipuliwa ni mabaloon tu na michoro.Kama yameteketezwa?
Kapambana kiume na magaidi mawili walio mchangia na kuvamia taifa lake bila kukataa tamaaKashinda nini?
Kashinda njaa.Kashinda nini?
Kapigika yupo hoi kwa sasa kiuchumi na kijeshi. Iran wa sasa si wa jana. Hakuna alichoshinda.Kapambana kiume na magaidi mawili walio mchangia na kuvamia taifa lake bila kukataa tamaa
Kwani dunia ni kina nani hao mkuu?Iran kaonyesha ni kwa namna gani mwanaume unapaswa uwe na misimamo , mpaka sasa iran ni mshindi bila kujalisha chochote na dunia yote imejua hilo
Ipo wazi kujadili ni kupoteza mda tuKwani dunia ni kina nani hao mkuu?
Hao wa dunia wanaojua Iran kashinda ni wa nchi zipi chief
Mbona huku kwetu wengi tu wanasema Iran kasagwasagwa sana?
Waliokuwa viongozi wake wengi wameuwawa, vituo vingi vya kijeshi, miundombinu ya serikali nayo imevunjwa vunjwa tu, huo ushindi kwani ni waaje chief
Ona kule kwa mahasimu wake hakuna mauwaji ya viongozi hata mmoja
OkKapigika yupo hoi kwa sasa kiuchumi na kijeshi. Iran wa sasa si wa jana. Hakuna alichoshinda.