Iran kuanza kutumia Nyuklia na Mabomu ya Masafa Marefu kupiga New York

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Kutokana na hali inayoendelea ya hawa Makafir kujipigia kila sehemu watakayo ndani ya Iran na ndege zao kuranda randa nchini.

Je mheshimiwa Spika. Huu si wakati mzuri sasa wa kuanza kutumia mabomu ya Nyuklia ambayo tumekuwa nayo mengi sana yanayoweza teketeza dunia nzima na akhera?

Lakini je si wakati mzuri wa kutumia mabomu ya masafa marefu kuipiga New York? Au Washington DC? Las Vegas n.k? Maana tumekuwa na mabomu ambayo yanaweza enda ipiga marekani na kurudi Irani na kwenda tena kulipua Marekani na kurudi bila kuchoka.

Je huu siyo ndo wakati wa kuanza kutumia hayo mavitu? Maana tumechokaa. Ni hayo tu maswali mawili mh spika.
 
Asante kwa kutumia AI kuandaa uzi 😁
 
Vita inasheria zake za matumizi.ya vifaa siyo.kujiamulia tu. Jaribuni muone ndiyo mtazama milele
 
Back
Top Bottom