Iran kuishambulia Marekani

Iran kuishambulia Marekani

Joined
Jan 6, 2022
Posts
56
Reaction score
336
Iran imesema kwamba unaweza kuishambulia Marekani iwapo tu Marekani itaendelea kuisaidia Israel kulipa kisasi.

Iran bila uoga imetamka wazi wazi tutaipiga Marekani vibaya mno na linaweza kuwa shambulio la kihistoria endapo watazidi kuwasaidia Israel kutupiga sisi.

Vyombo mbalimbali vya kijasusi vimesema kuwa iran inapewa kiburi na washirika wake wakuu waliopo pembeni ambao ni Urusi, China na North Korea.

Washirika wa Iran wapo tayari muda wote kuisaidia Iran pindi tu vita vitakapoanza baina ya Marekani, Israel dhidi ya Iran.

Huu unaweza kuwa mgogoro mkubwa utakaoleta ww3
 
Israel tu kamgeuza shamba la bibi, kashavuna viongozi wa juu wa Iran na wanasayansi wake kibao.

Iran kaishia kurusha mabomu bila kusababisha madhara makubwa kwa wahusika, sasa atamuweza USA mfupa uliomshinda fisi kuutafuna?.

Aache maigizo ya futuhi asubiri Yahood kuendeleza alipoishia
 
Iran IMESEMA kwamba unaweza KUISHAMBULIA marekani iwapo tu marekani itaendelea kuisaidia Israel kulipa kisasi ,
Iran bila uoga imetamka wazi wazi tutaipiga marekani vibaya mno na linaweza kuwa shambulio la kihistoria endapo watazidi kuwasaidia Israel kutupiga sisi,
IMESEMA Iran,
Vyombo mbali mbali vya kijasusi vimesema kuwa iran inapewa kiburi na washirika wake wakuu waliopo pembeni ambao ni urusi, china na north Korea,
Washirika wa Iran wapo tayari muda wote kuisaidia Iran pindi tu vita vitakapoanza baina ya marekani Israel dhidi ya Iran,
Huu unaweza kuwa mgogoro mkubwa utakaoleta ww3
kuna mtu humu kasema kula ugali inaharibu ubongo
 
Umasikini unapotaka kumfika mtu, unanguvu za ajabu, na unapokuja, humwelekeza jambo la kufanya na kumhakikishia kuwa hatapata hasara,

Hii ni hasa mtu anapoacha ku focus mambo yake ambayo kwayo yanampa faida

Eti Iran apige USA

Hii ndiyo tofauti ya mzungu na mifano ya wazungu
 
Iran IMESEMA kwamba unaweza KUISHAMBULIA marekani iwapo tu marekani itaendelea kuisaidia Israel kulipa kisasi ,
Iran bila uoga imetamka wazi wazi tutaipiga marekani vibaya mno na linaweza kuwa shambulio la kihistoria endapo watazidi kuwasaidia Israel kutupiga sisi,
IMESEMA Iran,
Vyombo mbali mbali vya kijasusi vimesema kuwa iran inapewa kiburi na washirika wake wakuu waliopo pembeni ambao ni urusi, china na north Korea,
Washirika wa Iran wapo tayari muda wote kuisaidia Iran pindi tu vita vitakapoanza baina ya marekani Israel dhidi ya Iran,
Huu unaweza kuwa mgogoro mkubwa utakaoleta ww3
Iran kumpiga mmarekani naona hii ni futuhi

Tupe source ya hii taarifa
 
Iran IMESEMA kwamba unaweza KUISHAMBULIA marekani iwapo tu marekani itaendelea kuisaidia Israel kulipa kisasi ,
Iran bila uoga imetamka wazi wazi tutaipiga marekani vibaya mno na linaweza kuwa shambulio la kihistoria endapo watazidi kuwasaidia Israel kutupiga sisi,
IMESEMA Iran,
Vyombo mbali mbali vya kijasusi vimesema kuwa iran inapewa kiburi na washirika wake wakuu waliopo pembeni ambao ni urusi, china na north Korea,
Washirika wa Iran wapo tayari muda wote kuisaidia Iran pindi tu vita vitakapoanza baina ya marekani Israel dhidi ya Iran,
Huu unaweza kuwa mgogoro mkubwa utakaoleta ww3
ubaya ubaya tu...
 
Ile haikuwa vita.Ni special mission ya kuwalemaza uwezo(crippling the enemies)Talebans.
Mhhh kwa hio Taliban walikua wanapewa pipi,..........tukidiscusss mambo ya military dini zikae pembeni,huu ndo UPUMBAVU,....wa watu kusema Israel inashambulia sababu ya uwezo waliopewa na mungu wakati,inapata msaada kutoka U.S kuliko taifa lolote like,..........kua wewe unamuabudu mungu wa Israel wakati huko Israel Kuna wakristo wachache kuliko hata waislam
Screenshot_20241004-131754.png
 
Mhhh kwa hio Taliban walikua wanapewa pipi,..........tukidiscusss mambo ya military dini zikae pembeni,huu ndo UPUMBAVU,....wa watu kusema Israel inashambulia sababu ya uwezo waliopewa na mungu wakati,inapata msaada kutoka U.S kuliko taifa lolote like,..........kua wewe unamuabudu mungu wa Israel wakati huko Israel Kuna wakristo wachache kuliko hata waislamView attachment 3114995
Uliyemquote mbona hajazungumzia dini wala kucomment kwa mlengo wa kidini!? Naona wewe ndo una vimelea vya dini maana umeshindwa kupinga hoja yake bila kuhusisha dini! Hizo dini za kuletewa zisifunge fikra zetu, tujadili mambo kwa uhalisia wake.
 
Back
Top Bottom