Harmonize wa Jf
Member
- Jan 6, 2022
- 56
- 336
kuna mtu humu kasema kula ugali inaharibu ubongoIran IMESEMA kwamba unaweza KUISHAMBULIA marekani iwapo tu marekani itaendelea kuisaidia Israel kulipa kisasi ,
Iran bila uoga imetamka wazi wazi tutaipiga marekani vibaya mno na linaweza kuwa shambulio la kihistoria endapo watazidi kuwasaidia Israel kutupiga sisi,
IMESEMA Iran,
Vyombo mbali mbali vya kijasusi vimesema kuwa iran inapewa kiburi na washirika wake wakuu waliopo pembeni ambao ni urusi, china na north Korea,
Washirika wa Iran wapo tayari muda wote kuisaidia Iran pindi tu vita vitakapoanza baina ya marekani Israel dhidi ya Iran,
Huu unaweza kuwa mgogoro mkubwa utakaoleta ww3
Kwa hiyo yeye anawakilisha wenye mbongo mbovu?kuna mtu humu kasema kula ugali inaharibu ubongo
Kwenye vita Kila kitu kinaweza tokea,it took 20 yrs for U.S to fight Taliban and last handling military devices to its enemy🤣😀😀😀Wairan wana vituko sana.Kwa hiyo wataichakaza USA?
Vibaya mnoWairan wana vituko sana.Kwa hiyo wataichakaza USA?
Ile haikuwa vita.Ni special mission ya kuwalemaza uwezo(crippling the enemies)Talebans.Kwenye vita Kila kitu kinaweza tokea,it took 20 yrs for U.S to fight Taliban and last handling military devices to its enemy🤣😀😀😀
Iran kumpiga mmarekani naona hii ni futuhiIran IMESEMA kwamba unaweza KUISHAMBULIA marekani iwapo tu marekani itaendelea kuisaidia Israel kulipa kisasi ,
Iran bila uoga imetamka wazi wazi tutaipiga marekani vibaya mno na linaweza kuwa shambulio la kihistoria endapo watazidi kuwasaidia Israel kutupiga sisi,
IMESEMA Iran,
Vyombo mbali mbali vya kijasusi vimesema kuwa iran inapewa kiburi na washirika wake wakuu waliopo pembeni ambao ni urusi, china na north Korea,
Washirika wa Iran wapo tayari muda wote kuisaidia Iran pindi tu vita vitakapoanza baina ya marekani Israel dhidi ya Iran,
Huu unaweza kuwa mgogoro mkubwa utakaoleta ww3
That's a real laughter!🙏🤣🤣🤣🤣Vibaya mno
ubaya ubaya tu...Iran IMESEMA kwamba unaweza KUISHAMBULIA marekani iwapo tu marekani itaendelea kuisaidia Israel kulipa kisasi ,
Iran bila uoga imetamka wazi wazi tutaipiga marekani vibaya mno na linaweza kuwa shambulio la kihistoria endapo watazidi kuwasaidia Israel kutupiga sisi,
IMESEMA Iran,
Vyombo mbali mbali vya kijasusi vimesema kuwa iran inapewa kiburi na washirika wake wakuu waliopo pembeni ambao ni urusi, china na north Korea,
Washirika wa Iran wapo tayari muda wote kuisaidia Iran pindi tu vita vitakapoanza baina ya marekani Israel dhidi ya Iran,
Huu unaweza kuwa mgogoro mkubwa utakaoleta ww3
Ndiyo, ni FutuhiFutuhi
Mhhh kwa hio Taliban walikua wanapewa pipi,..........tukidiscusss mambo ya military dini zikae pembeni,huu ndo UPUMBAVU,....wa watu kusema Israel inashambulia sababu ya uwezo waliopewa na mungu wakati,inapata msaada kutoka U.S kuliko taifa lolote like,..........kua wewe unamuabudu mungu wa Israel wakati huko Israel Kuna wakristo wachache kuliko hata waislamIle haikuwa vita.Ni special mission ya kuwalemaza uwezo(crippling the enemies)Talebans.
Uliyemquote mbona hajazungumzia dini wala kucomment kwa mlengo wa kidini!? Naona wewe ndo una vimelea vya dini maana umeshindwa kupinga hoja yake bila kuhusisha dini! Hizo dini za kuletewa zisifunge fikra zetu, tujadili mambo kwa uhalisia wake.Mhhh kwa hio Taliban walikua wanapewa pipi,..........tukidiscusss mambo ya military dini zikae pembeni,huu ndo UPUMBAVU,....wa watu kusema Israel inashambulia sababu ya uwezo waliopewa na mungu wakati,inapata msaada kutoka U.S kuliko taifa lolote like,..........kua wewe unamuabudu mungu wa Israel wakati huko Israel Kuna wakristo wachache kuliko hata waislamView attachment 3114995