Ishi kwa akili yako acha mihemko ya kiimani.Israel tu kamgeuza shamba la bibi, kashavuna viongozi wa juu wa Iran na wanasayansi wake kibao.
Iran kaishia kurusha mabomu bila kusababisha madhara makubwa kwa wahusika, sasa atamuweza USA mfupa uliomshinda fisi kuutafuna?.
Aache maigizo ya futuhi asubiri Yahood kuendeleza alipoishia
✋✋✋✋ Taratibu basi!!!sasa atamuweza USA mfupa uliomshinda fisi kuutafuna?.
Na wakikusamehe wanafanya vita miaka ishirini au zaidi ili ujichoshe.Ukiichezea Marekani hakuna tofauti na mtu anaecheza na chatu, mshindi anajulikana.
Mmojawapo ni wewe.Wengine wana comment bila kujua wana comment nini.
Sikia hili shabiki lenye mapenzi na P DIDDY 😁😁😁Ulikuwa na umri gani na vita ilikuwa mwaka gani?Usijikweze kwa sababu una chuki tu na Marekani.
MadrasaWairan wana vituko sana.Kwa hiyo wataichakaza USA?
Umejibu swali au unakusanya vilainishi?Sikiahili shabiki lenye mapenzi na P DIDDY 😁😁😁
Wairan wana vituko sana.Kwa hiyo wataichakaza USA?
Bila kutandikwa viboko vya shingoni hawaelewi somo.Madrasa
Na wewe ulie QuoteMmojawapo ni wewe.
Mimi nimetaja mfano.Wewe ulikuwa unaogopa ugomvi.Na wewe ulie Quote
Utakufa kwa njaa.Achana na unabii feki.Wait,kwenye unabii wa biblia unasema siku za mwisho Taifa kubwa,litapigwa na Taifa dogo..kama ndio hivi semeni nifunge na kusali maana ule mwisho umekaribia...
Mimi nimetaja mfano.Wewe ulikuwa unaogopa ugomvi.
Ndicho kinachoenda kutokeaWait,kwenye unabii wa biblia unasema siku za mwisho Taifa kubwa,litapigwa na Taifa dogo..kama ndio hivi semeni nifunge na kusali maana ule mwisho umekaribia...
Hicho ndicho ninacho tamani litokee israel, ucrain wanaonewa tuIran IMESEMA kwamba unaweza KUISHAMBULIA marekani iwapo tu marekani itaendelea kuisaidia Israel kulipa kisasi ,
Iran bila uoga imetamka wazi wazi tutaipiga marekani vibaya mno na linaweza kuwa shambulio la kihistoria endapo watazidi kuwasaidia Israel kutupiga sisi,
IMESEMA Iran,
Vyombo mbali mbali vya kijasusi vimesema kuwa iran inapewa kiburi na washirika wake wakuu waliopo pembeni ambao ni urusi, china na north Korea,
Washirika wa Iran wapo tayari muda wote kuisaidia Iran pindi tu vita vitakapoanza baina ya marekani Israel dhidi ya Iran,
Huu unaweza kuwa mgogoro mkubwa utakaoleta ww3
Na tena Ndio matatizo ya shibe. Mkishiba mnatafuta mtu wa kupigana naye mieleka.Ndio matatizo ya maendeleo , mkishapata maendeleo mnaanza kutafuta mtu wa kupigana nae.
Ni kweli amesema haya baada ya raisi wa Iran kutembelea qatarIran kumpiga mmarekani naona hii ni futuhi
Tupe source ya hii taarifa