Iran kuishambulia Marekani

Iran kuishambulia Marekani

Israel tu kamgeuza shamba la bibi, kashavuna viongozi wa juu wa Iran na wanasayansi wake kibao.

Iran kaishia kurusha mabomu bila kusababisha madhara makubwa kwa wahusika, sasa atamuweza USA mfupa uliomshinda fisi kuutafuna?.

Aache maigizo ya futuhi asubiri Yahood kuendeleza alipoishia
Ishi kwa akili yako acha mihemko ya kiimani.
 
sasa atamuweza USA mfupa uliomshinda fisi kuutafuna?.
✋✋✋✋ Taratibu basi!!!

Fisi yupi ameshindwa kutafuna huo mfupa, unaweza kumtaja huyo Fisi?

Au umeandika kinyume?
Unamaanisha USA ndio Fisi mwenyewe, maana mifupa iliyomshinda kuitafuna ipo, na tunaijua.

Fupa 👇👇👇👇
taliban-office.jpg
 
Wait,kwenye unabii wa biblia unasema siku za mwisho Taifa kubwa,litapigwa na Taifa dogo..kama ndio hivi semeni nifunge na kusali maana ule mwisho umekaribia...
 
Wait,kwenye unabii wa biblia unasema siku za mwisho Taifa kubwa,litapigwa na Taifa dogo..kama ndio hivi semeni nifunge na kusali maana ule mwisho umekaribia...
Ndicho kinachoenda kutokea
 
Iran IMESEMA kwamba unaweza KUISHAMBULIA marekani iwapo tu marekani itaendelea kuisaidia Israel kulipa kisasi ,
Iran bila uoga imetamka wazi wazi tutaipiga marekani vibaya mno na linaweza kuwa shambulio la kihistoria endapo watazidi kuwasaidia Israel kutupiga sisi,
IMESEMA Iran,
Vyombo mbali mbali vya kijasusi vimesema kuwa iran inapewa kiburi na washirika wake wakuu waliopo pembeni ambao ni urusi, china na north Korea,
Washirika wa Iran wapo tayari muda wote kuisaidia Iran pindi tu vita vitakapoanza baina ya marekani Israel dhidi ya Iran,
Huu unaweza kuwa mgogoro mkubwa utakaoleta ww3
Hicho ndicho ninacho tamani litokee israel, ucrain wanaonewa tu
 
Back
Top Bottom