Iran kuishambulia Marekani

Iran kuishambulia Marekani

Hata Ethiopia walishawahi kuwashinda Italy kwenye vita. Wewe unadhani Italy ikipigana na Ethiopia 2024, kwamba Ethiopia itashinda tena?
Hao Vietnam wamguse Mmarekani sahivi waone moto wake
Italy inaweza kupigwa hadi na Rwanda kwa Sasa ndo maana walijisalimisha ndani ya NATO Kwa ajili ya usalama wake.
 
Tumia akili wewe zuzu wa ccm hata kwenye vita ya pili ya dunia katika kila askari 20 wa ujerumani mrussi kaua 18 marekani na uingereza na ufaransana na nchi nyingine zite wamegawana hao askari wawili tu waliobaki ...kiufupi vitaya pili ya dunia mrusi ndiyo aliokoa dunia dhidi ya mjerumani
Hivi mjerumani alikua mtu wa aina Gani kukichafua Dunia nzima? Malengo yake alitaka nn haswa
 
Back
Top Bottom