zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Ndio tutaona nani atakua wa kwanza kublink, Iran imeshakua under siege miaka ya 80 pengine ulikua hujazaliwa na ilipigana vita miaka 8 huku ina vikwazo kibao lakini ilibaki imara. Ndio sembuse sasa hivi ambako inaweza pata supplies za Russia kupitia caspian Sea.Meli kama hazipiti hata na za kwao pia hazipiti vilevile. Iran lazima wafahamu vema kwamba ujeuri katu hautaweza kuwasaida.