Iran kwa nini wanashambulia hadi Dubai? Je watapata wanachokitafuta?

Iran kwa nini wanashambulia hadi Dubai? Je watapata wanachokitafuta?

kali linux

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2017
Posts
2,303
Reaction score
6,123
Daah hii balaa sasa, BBC imeripoti kwamba The Palm ya Dubai imeshambuliwa na Iran media zimeconfirm hilo.

Je iran anachokitafuta atakipata?

Screenshot_20260228-183447.png

Ushajiuliza why US amesambaza kambi nyingi sana duniani?(anazo base 877 duniani kote) Ushajiuliza kwa ajili ya nini? husizanie ni urembo US kufanya hivyo. Maana anauwezo wa kuandaa mashambulizi kutoka kwenye kambi yoyote ile iliyo karibu kwa nchi atakayo ilenga. Iran mpaka sasa kisharusha mabomu kwenda kwenye kambi za US zilizopo, Kuwait, Abu Dhabi, Jordan, Qatar, Saudi,sababu anajua baadhi ya mashambulizi yatatokea kwenye hizo kambi.Iran anacho kitaka ni kuheshimiwa kama taifa huru na si kuingiliwa.
 
kuna base za US ziko huko, ndiko missiles zinapoelekezwa, na baadhi ya ADs zinafichwa katikati ya majengo ya watu, zinabamizwa hukohuko
nahisi wanamtafuta mtu humo hotelini sababu ngoma imepiga directly humo
 
Ushajiuliza why US amesambaza kambi nyingi sana duniani?(anazo base 877 duniani kote) Ushajiuliza kwa ajili ya nini? husizanie ni urembo US kufanya hivyo. Maana anauwezo wa kuandaa mashambulizi kutoka kwenye kambi yoyote ile iliyo karibu kwa nchi atakayo ilenga. Iran mpaka sasa kisharusha mabomu kwenda kwenye kambi za US zilizopo, Kuwait, Abu Dhabi, Jordan, Qatar, Saudi,sababu anajua naadhi ya mashambulizi yatatokea kwenye hizo kambi.Iran anacho kitaka ni kuheshimiwa kama taifa huru na si kuingiliwa.
duuuh, hii ww3 nje nje kama mambo yakiendelea hivi
 
Watampiga mpaka akose pa kutokea
 
duuuh, hii ww3 nje nje kama mambo yakiendelea hivi
Sijajua kwani watabiri wanadai WW3 nuclear itatumika, Iran hana Nuclear kama angekuwa na US hasingesogeza pua. North Korea kule ni mwendo wa vikwazo US hasogezi pua,kwani anajua jamaa ana Nuclear za kitosha na ana mabomu ya kupiga kutoka bara moja kwenda jingine.

Ndio maana kila siku US anaishia kuweka vikwazo. Kama Iran angekuwa na Nuclear, US hasinge sogeza pua kwani Nuclear huwezi kuizuia wala kuintercept kwani hata ukiizuia mionzi yake na mabaki, inaangamiza kiumbe hai chochote na madhara yake hukaa kwa miaka mingi sana.
 
Watampiga mpaka akose pa kutokea
Ulitaka Iran afanyeje? Iran anapigania haki yake ya msingi kama taifa ya kutoingiliwa kwenye maamuzi yake kama mataifa mengine. Mistake moja Iran hana Nuclear angekuwa nayo US hasingesogeza pua ,ingekuwa ni mwendo wa vikwazo kama North Korea.
 
Daah hii balaa sasa, BBC imeripoti kwamba The Palm ya Dubai imeshambuliwa na Iran media zimeconfirm hilo.

Je iran anachokitafuta atakipata?

View attachment 3550100

Ushajiuliza kwanini israel alipiga mabomu qatar, au anauwa wapalesyina
 
Ata Sadamu miaka Ile ya 90 alikua akipiga makombora ya Scud kule Kuwait, Jerusalem, Saudi Arabia na Base zote za Marekani zilizopo Ghuba.
Marekani na washirika wake wali mshambulia Sadam kwa muda mrefu na baadae walishika Anga la Iraq.
Apo Sasa vita ikawa rahisi maana Madege ya Amerika na wapambe yakawa Yana Tanba kwenye Anga la Iraq.
Waka peleka Askari wa Ardhini Tena wengi wakiwa waarabu wakachukua Nchi na baadae ku myonga Sadam.
Anachokifanya Marekani kwasasa ni marudio tu walivyo mfanyia Sadamu.
 
Back
Top Bottom