kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,303
- 6,123
nahisi wanamtafuta mtu humo hotelini sababu ngoma imepiga directly humokuna base za US ziko huko, ndiko missiles zinapoelekezwa, na baadhi ya ADs zinafichwa katikati ya majengo ya watu, zinabamizwa hukohuko
inawezakuwa ni inaccuracies za bomu, ila target unakuta ni zile ADs, Iran washafanya Intel ya kutosha kujua millitary assets za adui zinapofichwa, wanabamiza hapo haponahisi wanamtafuta mtu humo hotelini sababu ngoma imepiga directly humo
duuuh, hii ww3 nje nje kama mambo yakiendelea hiviUshajiuliza why US amesambaza kambi nyingi sana duniani?(anazo base 877 duniani kote) Ushajiuliza kwa ajili ya nini? husizanie ni urembo US kufanya hivyo. Maana anauwezo wa kuandaa mashambulizi kutoka kwenye kambi yoyote ile iliyo karibu kwa nchi atakayo ilenga. Iran mpaka sasa kisharusha mabomu kwenda kwenye kambi za US zilizopo, Kuwait, Abu Dhabi, Jordan, Qatar, Saudi,sababu anajua naadhi ya mashambulizi yatatokea kwenye hizo kambi.Iran anacho kitaka ni kuheshimiwa kama taifa huru na si kuingiliwa.
Ushajiuliza why US amesambaza kambi nyingi sana duniani?(anazo base 877 duniani kote) Ushajiuliza kwa ajili ya nini? husizanie ni urembo US kufanya hivyo. Maana anauwezo wa kuandaa mashambulizi kutoka kwenye kambi yoyote ile iliyo karibu kwa nchi atakayo ilenga. Iran mpaka sasa kisharusha mabomu kwenda kwenye kambi za US zilizopo, Kuwait, Abu Dhabi, Jordan, Qatar, Saudi,sababu anajua naadhi ya mashambulizi yatatokea kwenye hizo kambi.Iran anacho kitaka ni kuheshimiwa kama taifa huru na si kuingiliwa.
mf: Qatar na Kuwait baadhi ya radar za kusense mabomu yanayokuja zimewekwa airport, mchana huu Iran kapiga hapo hapo airportduuuh, hii ww3 nje nje kama mambo yakiendelea hivi
Sijajua kwani watabiri wanadai WW3 nuclear itatumika, Iran hana Nuclear kama angekuwa na US hasingesogeza pua. North Korea kule ni mwendo wa vikwazo US hasogezi pua,kwani anajua jamaa ana Nuclear za kitosha na ana mabomu ya kupiga kutoka bara moja kwenda jingine.duuuh, hii ww3 nje nje kama mambo yakiendelea hivi
Ulitaka Iran afanyeje? Iran anapigania haki yake ya msingi kama taifa ya kutoingiliwa kwenye maamuzi yake kama mataifa mengine. Mistake moja Iran hana Nuclear angekuwa nayo US hasingesogeza pua ,ingekuwa ni mwendo wa vikwazo kama North Korea.Watampiga mpaka akose pa kutokea
Ushajiuliza kwanini israel alipiga mabomu qatar, au anauwa wapalesyinaDaah hii balaa sasa, BBC imeripoti kwamba The Palm ya Dubai imeshambuliwa na Iran media zimeconfirm hilo.
Je iran anachokitafuta atakipata?
View attachment 3550100
Trump says ‘there will likely be more’ US deaths as Iran strikes to continue until ‘all’ goals achieved
Three American service members have been killed and casualties are reported in the UAE, Israel and Kuwait as Israel and Iran continue to trade strikes.www.bbc.co.uk