Iran mbona kimya tena?

Iran mbona kimya tena?

ward41

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2022
Posts
749
Reaction score
2,533
Hivi Yale makelele ya Iran yameishia wapi. Mara ooh Israeli akiivamia Gaza atakuwa amevuka mstari mwekundi. Yale maneno hatuasikii tens, kuna nini?

Wanaume wapo ndani huko. Mji wa Gaza majengo yote yamebomolewa na magaidi 8000 yamekufa na wengine kujisalimisha.

Mataifa ya Kiarabu mbona yapo kimya. Wanabaki kuandamana tu lakini hakuna anaedhubutu kuingiza mguu.

Kweli Netanyahu ni Burning Spear
(Mkuki wa Moto)
 
Na yale makelele ya Netanyau ya tunaenda kuiangamiza Hamas na kuwakomboa mateka yako wapi?

Iran ana haja gani ya kuingia moja kwa moja hali ya kuwa Hamas anawamudu?

Juzi waziri wa ulinzi wa Iran alimuuliza kiongozi wa Hamas iwapo watakuwa wanahitaji msaada wowote lakini kiongozi huyo wa hamas akamuambia kuwa Hamas bado ana silaha za kutosha kupigana kwa miaka kadhaa.

Leo Israel katangaza kurudisha wanajeshi wake nyuma ili kujipanga upya na amesema anahitaji mwaka mzima wa 2024 kushinda vita dhidi ya Hamas baada ya kukumbana na kichapo kikali sana.
 
Taqbir.
 
Hivi Yale makelele ya Iran yameishia wapi. Mara ooh Israeli akiivamia Gaza atakuwa amevuka mstari mwekundi. Yale maneno hatuasikii tens, kuna nini?

Wanaume wapo ndani huko. Mji wa Gaza majengo yote yamebomolewa na magaidi 8000 yamekufa na wengine kujisalimisha.

Mataifa ya Kiarabu mbona yapo kimya. Wanabaki kuandamana tu lakini hakuna anaedhubutu kuingiza mguu.

Kweli Netanyahu ni Burning Spear
(Mkuki wa Moto)
Fuatilia kwa makini Israel pamoja na kumiliki media zote habari wanayo
 
Hivi Yale makelele ya Iran yameishia wapi. Mara ooh Israeli akiivamia Gaza atakuwa amevuka mstari mwekundi. Yale maneno hatuasikii tens, kuna nini?

Wanaume wapo ndani huko. Mji wa Gaza majengo yote yamebomolewa na magaidi 8000 yamekufa na wengine kujisalimisha.

Mataifa ya Kiarabu mbona yapo kimya. Wanabaki kuandamana tu lakini hakuna anaedhubutu kuingiza mguu.

Kweli Netanyahu ni Burning Spear
(Mkuki wa Moto)
Iran anapigana indirect, haujasikia leo iran imeingiza meri yake ya kivita red sea?
 
Hivi Yale makelele ya Iran yameishia wapi. Mara ooh Israeli akiivamia Gaza atakuwa amevuka mstari mwekundi. Yale maneno hatuasikii tens, kuna nini?

Wanaume wapo ndani huko. Mji wa Gaza majengo yote yamebomolewa na magaidi 8000 yamekufa na wengine kujisalimisha.

Mataifa ya Kiarabu mbona yapo kimya. Wanabaki kuandamana tu lakini hakuna anaedhubutu kuingiza mguu.

Kweli Netanyahu ni Burning Spear
(Mkuki wa Moto)
Magaidi 8000 hizo ni ndoto kama za makao makuu yapo Alshifa Hospital 😄

Hivi Israel hi ya kuwauwa Hamasi 8000? Mwenye kuyamini maneno hayo lazima atakuwa kichaa tu.
 
Yaani ukiona hezbollah wanashambulia israel ujue iran ndio katoa order na wanajeshi wengi wa iran wapo hapo lebanon ndio wanaoifanya hyo kazi kuwafumua malinda wavaa pampers
 
Habari ya mjini ni Papa kuhalalisha mufumuane malinda, hayo mengine tushayazoea.
 
Back
Top Bottom