Iran na israel watabadilishana majasusi hivi karibuni

Khanji kapoor

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2024
Posts
3,861
Reaction score
9,909
Iran iliwakamata majasusi watano wa Israel ikiwahusisha na kudukua mfumo wa anga la tehran na kuwatumia wenzao wa israel na siku moja baadae Iran ikapoteza uthibiti wa anga na kupelekea kushambuliwa vibaya

Sasa kumbe israel ilikuwa inawajua majasusi ya tehran baada ya kuona ile habari na wao wakawamata idadi ile ile

Kwa ninavyojua tabia za ulimwengu wa kiislam sidhan km iran atakubali atataka awanyonge hadharan ili kuondoa aibu ktk ulimwengu wa kiislam😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…