Iran: Naibu Waziri wa Wizara ya Afya agundulika kuambukizwa Virusi vya Corona

Iran: Naibu Waziri wa Wizara ya Afya agundulika kuambukizwa Virusi vya Corona

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
Naibu Waziri Iraj Harirchi ambaye amekuwa mstari wa mbele nchini humo katika kupambana na #coronavirus amegundulika kuambukizwa virusi hiyo

Msemaji wa Wizara hiyo amethibitisha hayo alipokuwa anafanya mahojiano na chaneli ya runinga ya Taifa na kusema Naibu Waziri huyo amewekwa sehemu maalumu ya uangalizi

Aidha, Jumatatu iliyopita Shirika la Habari nchini humo lilisema watu 50 wamefariki kwa virusi hivyo huku likieleza kuwa linapendelea kutokuficha mambo kuhusu Corona kwani yanahusisha maisha ya watu

Hata hivyo, Naibu Waziri Harirchi alipinga taarifa hiyo akisema atajiuzulu ikiwa hata nusu ya idadi iliyotajwa (Watu 50) watafariki dunia kutokana na Virusi vya Corona

Taarifa kutoka Ikulu zilithibitisha maambukizi ya kwanza ya Virusi vya Corona nchini humo Jumatano iliyopita huku Wizara ya Afya ikisema watu wawili wameambukizwa na wametengwa

1.jpg

Iran’s Deputy Health Minister Iraj Harirchi has tested positive for coronavirus, Iranian state media has reported. Harirchi has been at the forefront of the country's response to the outbreak.

A spokesperson for Iran's health ministry confirmed in a television interview on Tuesday that Harirchi has been infected and is under quarantine.

ILNA reported Monday that officials from the city of Qom had said there had been 50 coronavirus deaths there. "We prefer not to censor what concerns the coronavirus because people’s lives are in danger,” the outlet said.

Harirchi rejected that report, however, saying he would resign if even half of that number had died.

Tehran confirmed its first two cases of the novel virus COVID-19 last Wednesday, with the health ministry saying that two patients had been put into isolation.

Schools have been closed across much of the country for the last two days and five of Iran's seven neighbors have closed their borders with the Islamic Republic.

Clashes broke out between protesters and security forces at the weekend, over Tehran's handling of the country's outbreak, local media reported.
 
VITA YA UCHUMI NI MBAYA SANA ASEE KWANINI UMEANZIA CHINA,KOREA KUSINI NA IRANI
 
Dah! Hili gonjwa hatari sana hawa wala popo wametuletea balaa.
 
Yule jamaa nilimuona kwenye ile press conference, alikuwa anapiga chafya sana na alikuwa na mafua huku anatoka jasho.

Nawaza yule aliyekuwa pembeni yake na atakuwa amemuambikiza. kujumlisha na waandishi wa habari waliokuwa kwenye mkutano
 
Back
Top Bottom