Iran: Naibu Waziri wa Wizara ya Afya agundulika kuambukizwa Virusi vya Corona

Iran: Naibu Waziri wa Wizara ya Afya agundulika kuambukizwa Virusi vya Corona

Siku huo ugonjwa ukifika bongo hat vile vimask vitaletewa siasa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwa wabongo wanavyoogopa kufa wadhani kuna atakethubutu kukufuata kukuhudumia? I bet my life for this kwasababu they could have already done something for their betterment against this kind of life caused by ruling party.
angalia vyama vyao vinavyotakiwa kupigania maslahi yao vilivyolala, angalia maisha ya watanzania yanavyokatika kila siku kwakukosa huduma stahiki mahospitalini na wao wako kimya zaidi ya taasisi zisizohusika na maswala ya afya kupiga kelele lakini wao wakiwa kimya.
Refer yale walihoyaongea kwenye mkutano wao na mzee ndipo utajua je kwenye catastrophic environment watajitoa?
 
Ficha ujinga wako

Sent using Jamii Forums mobile app
FB_IMG_15827422123631337.jpg
 
Unaupangia ugonjwa mahali pa kutokea.Bora hata imetokea huko kwa wenzetu wenye hela ingetokea kariakoo na Karume ,Tungekuwa tushakufa 2.5 .mil

Sent using Jamii Forums mobile app
Huenda ushafika ila kwetu sisi ni kama mafua tu magonjwa madogo madogo kama haya uwa yanagonga mwamba wa mwafrika hasa wa kusini mwa jangwa la sahara
 
VITA YA UCHUMI NI MBAYA SANA ASEE KWANINI UMEANZIA CHINA,KOREA KUSINI NA IRANI
Mwenye akili huwa anauliza jambo maswali,lakini mjinga anachukulia everything for granted.Wewe unazo akili,hongera sana.
 
Conspirancies at work..
China na itelejensia yote hiyo kashindwa kuyajua hayo, ila wewe Mkazi wa Misungwi umeyajua!!.
Sawa.


Sent using Jamii Forums mobile app
For how long will you stop calling truth conspiracies and when will you grasp the fact that calling truth conspiracy is a grand plan of the NWO to water down truth?Don't you know that this is an attempt on your part to help the NWO hide their evil deeds? Wake up.
 
Back
Top Bottom