I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Aisee duniani kuna mengi sana bado hatuyajuiNa ndio nchi ya pili kwa wanaume kujigeuza kuwa wanawake,nyuma ya Thailand
Kuna mtu tangu anazaliwa mpska kifo hiyo 10m anaisikia tu hata kuiona hajawahi.Uuze figo milioni 10 kweli yaani $4600?, huo utakuwa ni upunguani kama sio ukorofi.