IRAN: Ni nchi pekee duniani watu wanaruhusiwa kuuza figo zao kihalali

IRAN: Ni nchi pekee duniani watu wanaruhusiwa kuuza figo zao kihalali

I am Groot

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
3,929
Reaction score
10,747
Unaambiwa!
Ikiwa biashara ya viungo vya ndani vya binadamu bado ni haramu katika nchi karibia zote duniani,

Iran ndio nchi pekee duniani inayotoa vibali na ruhusa kwa watu kuuza figo zao kihalali.

Serikali huandikisha wanunuzi na wauzaji, kuwalinganisha na kuweka kiwango cha bei elekezi kwa dola za kimarekani $4,600 kwa ogani.
 
Actually, upo utabiri utatokea siku za mwisho, maovu yataongezeka kiasi kwamba biashara ya viungo vya binadamu itakuwa centered maeneo ya Iraq na Iran, haya unayoona bongo watu wananyofoa mbunye na penis za watu kuuza kwa wanga wa kienyeji kuna wakati itafika eneo hilo la baabel vitauzwa waziwazi kutokana na wingi wa uovu utakavyokuwa umepamba moto.hayo ni maandalizi tu.
 
Uuze figo milioni 10 kweli yaani $4600?, huo utakuwa ni upunguani kama sio ukorofi.
 
Back
Top Bottom