Iran sasa hivi anapigwa Kama Ngoma na Majeshi ya Marekani!!

Ir
Majeshi ya Marekani sasa hivi yanajipigia tu pale yanapotaka huko Iran. Safari hii ni zamu ya Miundombinu ya madaraja na minara ya Mawasiliano!!!

Iran nayo hawa hiki kubwabwaja ovyo na vitisho visivyo na tija!!!
Sambamba na kauli za Rais wa Marekani Donald Trump mapema wiki hii, Jeshi la Anga la Marekani lilianza kufanya mashambulizi kwenye miundombinu na madaraja kote Iran.

Gavana wa Mkoa wa Hormozgan ametangaza kwamba kufuatia mashambulizi ya anga ya Marekani, njia ya Bandar Abbas - Khmeir - Lar na njia ya Keshvar - Kahorstan zimefungwa, na watu wanashauriwa kuepuka kusafiri hadi maeneo haya hadi taarifa zaidi itakapotolewa.

Mashambulizi ya Marekani yalilengwa miongoni mwa mengine:
● Bandar Khamir, njia muhimu ya kupita inayounganisha Bandar Abbas na Lar. Kulikuwa na magari kwenye daraja wakati wa shambulio hilo, na kusababisha angalau 1 kufariki na kadhaa kujeruhiwa.

● Daraja la Gariveh, angalau 1 kufariki na wengine kadhaa kujeruhiwa.

Kituo cha reli, magharibi mwa Bandar Abbas, sehemu ambayo reli inaunganisha na mistari ya abiria na mizigo ya bandari ya Shahid Rajaei na reli ya Bandar Abbas pia ililipuliwa kwa bomu..Angalau majeruhi 2.

Mnara wa mawasiliano huko Bandar Abbas, na kusababisha uharibifu wa majengo kadhaa ya makazi yaliyo karibu.

● Uwanja wa ndege huko Iranshahr, kusini mashariki mwa Iran.

Iranian washazoea mapigano tatizo kupigwa kwa pande ya pili ndio wanatafuta kurusha taulo muda ndio Mwalimu 👈
 
Iranian regeme inadondoka... Hakuna mwanaume wa kukohoa mbele ya marekani & allies (Iran hadindishi mbele ya marekani)

Kwani pale mwanzo nani kaomba poo sio Uyu Trump na marekani yao!!!

Makombora ya Iranian yana technology kubwaa ndiomana unaona Marekani wanaweweseka sana uwezi kuyazuiya

na Israel tutasikia siku mbili izi akianza kutandikwa muda ndio Mwalimu✍️
 
Tatizo la islamists wanaendeshwa na mihemuko na stunts za kufikiriika za kijihad ambazo kiukweli ni old fashioned.

Wengi wanadhani inamuia vigumu US kumsambaratiha iran mara moja ila utambue kuwa marekani anafanya strategically na anapiga ngumi huku akilinda wananchi maana yeye sio mnyama kama walivyo hawa wavaa mashuka.
Uwezo wa kivita kati ya US na Iran ni mbingu na ardhi. Ni kama geographically walivyo mbali, ndivyo na uwezo wao kijeshi ulivyo mbali.

US ni level nyingine kabisa kabisaaa. Na sio Iran tu ambae hamfikii US ila hata Korea na China pia, wengi kwa China watapinga ila hata China hafiki level za US.

US level yake kuna Russia na nchi kadhaa za Ulaya ambazo yeye amezifanya kuwa washirika wake.
 
Hapigwi ila anachofanya marekani ni ugaidi. Hakuna vita ya kuharibu miundombinu ya kiraia ukasema unapigana vita unapiga vinu vya maji ya kunywa, madaraja, vinu vya umeme. Huo ugaidi
 
Magaidi ni Marekani sababu ni Marekani ndio kaanzisha Vita
Vya kigaidi
sio Iranian✍️
Tulia wewe Iran apelekewe pipe huko huko kwao. Hakuna kucheka na magaidi🤣🤣
20260712_163945.jpg
 
Joseph kibweteere kawauwa Wakristo mia900 kwa kuwachoma MOTO 💥💥💥 palepale Uganda 👈

katumia Bible 🚮lengo kuwapeleka kwa Bwana YESU Aleluyaaaaa Ameeeennn Aleluyaaaaa YESU Aleluyaaaaa kikondoo wamekufa 900 Aleluyaaaaa YESU Aleluyaaaaa

Quran haina hatia yoyote👈
zaidi ya propaganda za Mazwazwa Aleluyaaaaa YESU Aleluyaaaaa😇😇

unakufa kikondoo kondoo Shubamit mizwazwa nyinyi 👈

wapi Waislam wafe kijinga mfano wa ivyo???

Vifo vya kondoo kupitia biblia yao tu 🚮
sio Waislam
1784291375044.jpg
 
Kwani pale mwanzo nani kaomba poo sio Uyu Trump na marekani yao!!!

Makombora ya Iranian yana technology kubwaa ndiomana unaona Marekani wanaweweseka sana uwezi kuyazuiya

na Israel tutasikia siku mbili izi akianza kutandikwa muda ndio Mwalimu✍️
IMG-20260717-WA0024_1.jpg
 
Tatizo la islamists wanaendeshwa na mihemuko na stunts za kufikiriika za kijihad ambazo kiukweli ni old fashioned.

Wengi wanadhani inamuia vigumu US kumsambaratiha iran mara moja ila utambue kuwa marekani anafanya strategically na anapiga ngumi huku akilinda wananchi maana yeye sio mnyama kama walivyo hawa wavaa mashuka.
Changamoto ya wabishi kama Iran ambao kiukweli hawana uwezo kamili ni ujuaji.Watanyong'onyezwa/crippled kila eneo,kiuchumi hasa,hadi wabaki dhooful-hal!Wazumgu ni "washenzi" sana! Shauri yao!
 
vita si vyakushabikia, tunaumizwa laia tusio na hatia.
Mimi nashabikia sababu Iran alisema niguse uone. Meli zote za Marekani zitazamishwa Chini ya bahari.. Sasa kama Iran mwenyewe anataka vita, mimi ni nani nimpinge.. Ngoja kwqnza waoneshane makali
 
Ir

Iranian washazoea mapigano tatizo kupigwa kwa pande ya pili ndio wanatafuta kurusha taulo muda ndio Mwalimu 👈
Hivi Iran hana Anti-missiles za kuzuia Makombola yasitue kwenye madaraja? Au mfumo wao wa anga haufanyi kazi?
 
Majeshi ya Marekani sasa hivi yanajipigia tu pale yanapotaka huko Iran. Safari hii ni zamu ya Miundombinu ya madaraja na minara ya Mawasiliano!!!

Iran nayo hawa hiki kubwabwaja ovyo na vitisho visivyo na tija!!!
Sambamba na kauli za Rais wa Marekani Donald Trump mapema wiki hii, Jeshi la Anga la Marekani lilianza kufanya mashambulizi kwenye miundombinu na madaraja kote Iran.

Gavana wa Mkoa wa Hormozgan ametangaza kwamba kufuatia mashambulizi ya anga ya Marekani, njia ya Bandar Abbas - Khmeir - Lar na njia ya Keshvar - Kahorstan zimefungwa, na watu wanashauriwa kuepuka kusafiri hadi maeneo haya hadi taarifa zaidi itakapotolewa.

Mashambulizi ya Marekani yalilengwa miongoni mwa mengine:
● Bandar Khamir, njia muhimu ya kupita inayounganisha Bandar Abbas na Lar. Kulikuwa na magari kwenye daraja wakati wa shambulio hilo, na kusababisha angalau 1 kufariki na kadhaa kujeruhiwa.

● Daraja la Gariveh, angalau 1 kufariki na wengine kadhaa kujeruhiwa.

Kituo cha reli, magharibi mwa Bandar Abbas, sehemu ambayo reli inaunganisha na mistari ya abiria na mizigo ya bandari ya Shahid Rajaei na reli ya Bandar Abbas pia ililipuliwa kwa bomu..Angalau majeruhi 2.

Mnara wa mawasiliano huko Bandar Abbas, na kusababisha uharibifu wa majengo kadhaa ya makazi yaliyo karibu.

● Uwanja wa ndege huko Iranshahr, kusini mashariki mwa Iran.
Hivi vilio na mishuzi vinatoka wapi? 😂😂👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/Da5XHHAsA6l/?igsh=MWcxZ3g3NWZiMG4zOQ==
 
Back
Top Bottom