Iran sasa hivi anapigwa Kama Ngoma na Majeshi ya Marekani!!

Ir
Iranian washazoea mapigano tatizo kupigwa kwa pande ya pili ndio wanatafuta kurusha taulo muda ndio Mwalimu 👈
 
Iranian regeme inadondoka... Hakuna mwanaume wa kukohoa mbele ya marekani & allies (Iran hadindishi mbele ya marekani)

Kwani pale mwanzo nani kaomba poo sio Uyu Trump na marekani yao!!!

Makombora ya Iranian yana technology kubwaa ndiomana unaona Marekani wanaweweseka sana uwezi kuyazuiya

na Israel tutasikia siku mbili izi akianza kutandikwa muda ndio Mwalimu✍️
 
Uwezo wa kivita kati ya US na Iran ni mbingu na ardhi. Ni kama geographically walivyo mbali, ndivyo na uwezo wao kijeshi ulivyo mbali.

US ni level nyingine kabisa kabisaaa. Na sio Iran tu ambae hamfikii US ila hata Korea na China pia, wengi kwa China watapinga ila hata China hafiki level za US.

US level yake kuna Russia na nchi kadhaa za Ulaya ambazo yeye amezifanya kuwa washirika wake.
 
Hapigwi ila anachofanya marekani ni ugaidi. Hakuna vita ya kuharibu miundombinu ya kiraia ukasema unapigana vita unapiga vinu vya maji ya kunywa, madaraja, vinu vya umeme. Huo ugaidi
 
 
 
Changamoto ya wabishi kama Iran ambao kiukweli hawana uwezo kamili ni ujuaji.Watanyong'onyezwa/crippled kila eneo,kiuchumi hasa,hadi wabaki dhooful-hal!Wazumgu ni "washenzi" sana! Shauri yao!
 
vita si vyakushabikia, tunaumizwa laia tusio na hatia.
Mimi nashabikia sababu Iran alisema niguse uone. Meli zote za Marekani zitazamishwa Chini ya bahari.. Sasa kama Iran mwenyewe anataka vita, mimi ni nani nimpinge.. Ngoja kwqnza waoneshane makali
 
Ir

Iranian washazoea mapigano tatizo kupigwa kwa pande ya pili ndio wanatafuta kurusha taulo muda ndio Mwalimu 👈
Hivi Iran hana Anti-missiles za kuzuia Makombola yasitue kwenye madaraja? Au mfumo wao wa anga haufanyi kazi?
 
Hivi vilio na mishuzi vinatoka wapi? 😂😂👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/Da5XHHAsA6l/?igsh=MWcxZ3g3NWZiMG4zOQ==
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…