Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,517
- 3,316
Wasalam Alleykhum wa rahma tullay wabalaqatuh!
Sasa natoa ushauri kitaalam. Naomba muanze kushambulia maeneo nyeti ya Israel kama ambavyo wametufanyizia wao. Tusirushe tu ngumi kama walevi. Tupige kama walivyotupiga hawa mayahudi. Tupige ikulu,maeneo ya kijeshi,tuue makamanda wao na wakuu wa kijeshi kulipiza kisasi kwa walichotufanyia hawa makafir.
Wametuvua nguo na kutuacha uchi. Na ninajiuliza ndege 200 zinaingiaje Iran na kutoka hatiangushi hata 50 tu? Tunalala sana. Sijui kwa nini. Si sawa hata kidogo. Lazima tupige panapouma. Kurusha tu makombora kama vipofu haitusaidii.