Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Inaonekana suala la Mabwabwa lipo sana Iran. Yaani kikosi cha mpira cha team ya wanawake wamechomekwa wanaume wanne humo ndani.
Hawa jamaa inaonekana hawana maadili kabisa. Tukiwaambia watu humu JF wanakuwa wabishi na wana leta imani. Haya ni mambo ya ustaarabu mdogo sana.
Yaani wakienda mapumziko vyumba vya wanawake na wanaume wamo ndani humo humo. Au hii ni mibwabwa?mwanaume wa kawaida hawezi kubali huu upuuzi.