😂Hii vita ni ngumu tofauti na watu wanavyo dhani.
Msemaji wa Iran ulipotelea wapi? Tulijua ulikufa pamoja na Ayatoulah kumbe upp hai.
Karibu ulingoni umsaidie mwenzako Khaibar maana amejitahidi kupambana peke yake kwa muda mrefu akisaidiwa kwa mbali na gallow bird