Iran: Tunasubiri majeshi ya Marekani kusindikiza meli za mafuta kupitia mlango wa bahari wa Hormuz

Aisee Jamaa mossad watamfunga huyu 🤣🤣 Kuna sehemu hapo kasema Kuna nyumba zaidi ya 4 zimepigwa na hajatoka hata mtu mmoja akiwa hai lakini kwenye media mtaambiwa kwamba kafa mtu mmoja tu , jamaa ametuachia swali kama katika nyumba nne zote zimepigwa na boom na hajatoka mtu akiwa hai vipi idadi nyingi za nyumba zinavyo zidi kupigwa ??!! Jibu mnalo 🤣
 
Rais wa Iran Atuma Ujumbe kwa Rais Trump

Masoud Pezeshkian:
"Wazo kwamba tutajisalimisha bila masharti, wanapaswa kuchukua ndoto kama hiyo kwenye makaburi yao.

Tunachojitolea ni sheria za kimataifa, mifumo ya kibinadamu na kanuni wanazodai kuzingatia.

Tutasimama kidete hadi pumzi yetu ya mwisho ya kuiondoa nchi yetu katika janga hili."
 
Aisee Jamaa mossad watamfunga huyu 🤣🤣 Kuna sehemu hapo kasema Kuna nyumba zaidi ya 4 zimepigwa na hajatoka hata mtu mmoja akiwa hai lakini kwenye media mtaambiwa kwamba kafa mtu mmoja tu , jamaa ametuachia swali kama katika nyumba nne zote zimepigwa na boom na hajatoka mtu akiwa hai vipi idadi nyingi za nyumba zinavyo zidi kupigwa ??!! Jibu mnalo 🤣
Msikilize huyu😅

View: https://x.com/gpx_press/status/2029914208645915044?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Back
Top Bottom