Iran: Tunasubiri majeshi ya Marekani kusindikiza meli za mafuta kupitia mlango wa bahari wa Hormuz

Iran: Tunasubiri majeshi ya Marekani kusindikiza meli za mafuta kupitia mlango wa bahari wa Hormuz

Mpuuzi ni wewe mjinga ambao unaleta matusi badala ya kujibu,kama huna akili nitolee ujinga uliokujaa kwenye kichwa chako kama pumbu.
Sawa zuchu nimekuelewa
 
Acha ushabiki maandazi, Jeshi la Iran lishakatwa miguu na mikono.

Kilichobakia kwa maaskari wao ni kuvaa Hijabu na kujilipua sehemu ya mikusanyiko.
1. Jeshi la Majini - kwisha, jamaa wamebaki na vi speed boats.
2. Jeshi la Anga - kwisha ndege za 🇺🇸 na Israel 🇮🇱 zinatamba anga lao usiku na mchana.
3. Maghala ya Silaha - 60% kwisha
4. Launchers za makombola - Kwisha
5. Launchers za drones-kwisha Kamikaze zipo mochwaree
6. Mawasiliano from command center - kwishaa

Sasa ni taahira pekee tu ndiyo anafikiri US inaweza kupigwa na Iran.

Mafuta yatapita hata kama haitakuwa na kiasi kama zamani ila yatapita.
By the way washamzika mzee wao. Poleni kwa msiba mzito - waliosema vita haina macho hawakukosea.
wewe punguani kweli unakuja na porojo mimi nakuja na facts.


View: https://x.com/nadira_ali12/status/2029927148342108183?s=46&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
 
Wanaukumbi.

Msemaji wa Walinzi wa Mapinduzi ya Iran:

-Tunasubiri uwepo wa majeshi ya Marekani kusindikiza meli za mafuta kupitia Mlango wa bahari wa Hormuz

- Tunawakumbusha Wamarekani juu ya kuchomwa kwa meli ya mafuta ya Amerika Bridgeton mnamo 1987…
================
BREAKING: IRAN CHALLENGES TRUMP ON SHIPS IN ITS strait of Hormuz

Iranian Revolutionary Guard Spokesperson:

-We are waiting for the presence of US forces to escort oil tankers through the Strait of Hormuz

- We remind Americans of the burning of the American oil tanker Bridgeton in 1987


View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/2030023125228716088?s=48&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Mbombo ngafu
 
Masaa chache baada ya jeshi la israel kutoa ripoti kuwa wamemaliza base za iran zenye silaha na mashambulizi yamepungua
Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian, katika hotuba yake iliyorushwa kwa televisheni ya taifa (pre-recorded address) tarehe 7 Machi 2026, ametoa nukuu na maelezo kuhusu radhi (apology) kwa nchi jirani (hasa Gulf neighbors) kuhusu mashambulizi ya hivi karibuni ya Iran.

"Kuanzia sasa, hakuna mashambulizi zaidi au kurusha makombora kwa nchi jirani, isipokuwa kama shambulio litatoka kutoka nchi hizo dhidi ya Iran

Ninapaswa kuomba radhi kwa nchi jirani ambazo zilishambuliwa na Iran, kwa niaba yangu mwenyewe."

Je iran imeishiwa nguvu?
 
Ty
 

Attachments

  • 1772874781196.jpg
    1772874781196.jpg
    132 KB · Views: 10
Wanaukumbi.

Msemaji wa Walinzi wa Mapinduzi ya Iran:

-Tunasubiri uwepo wa majeshi ya Marekani kusindikiza meli za mafuta kupitia Mlango wa bahari wa Hormuz

- Tunawakumbusha Wamarekani juu ya kuchomwa kwa meli ya mafuta ya Amerika Bridgeton mnamo 1987…
================
BREAKING: IRAN CHALLENGES TRUMP ON SHIPS IN ITS strait of Hormuz

Iranian Revolutionary Guard Spokesperson:

-We are waiting for the presence of US forces to escort oil tankers through the Strait of Hormuz

- We remind Americans of the burning of the American oil tanker Bridgeton in 1987


View: https://x.com/shaykhsulaiman/status/2030023125228716088?s=48&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw

Uzi wa kujifaraji Ma Ayatollah ya mchambawima na kizimkazi

Babu yenu alikuwa na maneno mengi sana akafa dk ya kwanza ya pambano alilojiandaa miaka 47

Yani nusu ya Maisha yake alijisndaa kufuta Israel akafutwa yeye dk ya kwanza tu
 
walikuwa wakijipiga kifua aty tutazamisha meli yenu ya kivita Ibrahim lincone,,,meli iyo ndio ilizamisha izo takataka zenu zote chini ya maji,,na mziki ndio mwanza unaanza,,,
 

Attachments

  • 1772875073489.jpg
    1772875073489.jpg
    85.5 KB · Views: 13
Propaganda za AI za kujifariji ukinywa uji wa pilipili manga na futari ya magimbi iliyochanganywa maziwa ya ngamia... wanaoumia ni Wairan kwa maangamizi makuu.. Maulid Kitenge na Salim Kikeke wapo Neutral (pamoja kuwa ni waislamu) kueleza madhila wanayopitia Wairan..
 
Muondoeni babu yenu kwenye mabarafu mkazike mapema kama mnavyofanya Kwa akina Abdul wa bongo
 
Sheria na kanuni za Kiislamu zinataka Muislamu yeyote akifa azikwe haraka sana siku hiyo hiyo au kesho yake ikiwa amekufa jioni sana au usiku. Nasisitiza Muislamu yeyote bila kujali cheo chake, maana Waislamu wote ni sawa mbele za Allah bila kujali vyeo vyao.

Swali ni je ni kwa nini huyu Kiongozi wa juu wa dini nchini Iran hajazikwa hadi leo takribani siku ya tatu toka amekufa wakati Sheria ya dini inataka Muislamu yeyote akifa azikwe haraka sana siku hiyo hiyo na huko huko umauti ulikomfika?

Si viongozi ndio wanatakiwa kuongoza kwa vitendo ili wafuasi na waumini wengine wafuate nyayo zao.

Tena Sheria inasisitiza azikwe haraka sana kule kule umauti ulikomfika sio habari za kuanza kusafirisha maiti.

Ikiwa Sheria ni msumeno mbona hapa msumeno umekuwa butu?

Kwa nini Sheria hii imekiukwa kwa huyu Kiongozi Mkuu wa dini ambaye pia ni Kiongozi wa Iran?

Mwenyekiti wenu nauliza tu nielewesheni polepole kwa upole.

Remmy Cameroon
Sauti ya wasio na sauti
 
Serikali ya Iran imetangaza kuwa Jenerali Sayyid Abdolrahim Mousavi, aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Nchi (Chief of Staff of the Armed Forces), ameuawa wakati wa mashambulizi makubwa yaliyolenga ofisi na Viongozi Wakuu wa nchi.

Mousavi alikuwa mmoja wa Maafisa Wakuu wa Kijeshi wa Iran.

Taarifa nyingi za kina bado zinakusanywa, na hali ya kikosi na uongozi mpya inaendelea kutangazwa.

Follow Bm Mbasha
 
When President Bashar al-Assad rushed to board a Russian plane to flee Syria after the fall of Damascus, he reportedly took with him his personal assistant and a few close aides.

The assistant whose duties included opening doors and carrying bags did not even have time to pack his own clothes or grab his passport.

After landing in Moscow, the aides accompanied Assad and his family to the luxurious Four Seasons Hotel Moscow, where the former president and his family settled into an upscale apartment.
Meanwhile, the three assistants were given a separate room to share.

The following day, hotel staff reportedly handed them a large bill for their room. Alarmed and unable to pay, they attempted to contact Assad but their calls allegedly went unanswered.

Russian authorities later intervened and offered to relocate them to an old Soviet-era military facility. Faced with uncertainty and without money, the personal assistant chose instead to return to Syria.

Today, while Assad and his family are said to be living in an affluent Moscow neighborhood, the assistant reportedly lives quietly with his family in a mountain village back in Syria, keeping a low profile and surviving with help from former regime contacts🥲

When approached through an intermediary by The New York Times, he declined to comment.

Power changes positions. Loyalty is tested in crisis.
Sometimes the people who carry the bags are left carrying the burden alone.
 
Mass funerals in Iran, US embassies on fire in the Gulf, and plans for mass evacuation of foreign nationals.
Al Jazeera’s Mohamed Hassan with the latest developments in the war on Iran.

There have been massive explosions at Tehran’s Mehrabad Airport, the city’s main hub for domestic flights. Al Jazeera’s Tohid Asadi describes another night of intense bombing, as US-Israel strikes target areas across the country.

Massive explosions and fires were seen across Tehran as US-Israeli strikes pummelled targets in the Iranian capital Friday night and into Saturday morning.
 
Hii vita ni ngumu tofauti na watu wanavyo dhani.
Kwa kua Urusi na china wameingia vitani kwa mlango wa nyuma tegemea vita kudumu muda mrefu.
Urusi,china na Korea kaskazini wamepata nafasi ya kumshusha Mzee mzima.
Alichokua akikifanya USA huko Ukraine ndicho Urusi atakifanya huko Iran.
 
Taarifa zinaeleza kuwa meli ya kubeba ndege ya kivita ya Marekani, USS George H.W. Bush, inatarajiwa kuelekea katika ukanda wa Mashariki ya Kati ili kujiunga na operesheni za kijeshi zinazohusiana na mvutano unaoendelea kati ya Marekani, Israeli dhidi ya Iran.

Meli hiyo kubwa ya kivita inayotumia nishati ya nyuklia ni miongoni mwa meli zenye uwezo mkubwa zaidi katika Jeshi la Wanamaji la Marekani. Ina uwezo wa kubeba makumi ya ndege za kivita, zikiwemo ndege za kushambulia malengo ardhini, ndege za ulinzi wa anga pamoja na helikopta za kijeshi. Uwepo wa meli kama hiyo katika eneo la vita mara nyingi huashiria kuongezeka kwa nguvu za kijeshi na maandalizi ya operesheni kubwa za kijeshi.

Follow Prosper Tv

#prospertv_tz
 
Back
Top Bottom