Iran: Tunasubiri majeshi ya Marekani kusindikiza meli za mafuta kupitia mlango wa bahari wa Hormuz

1001121395.jpg
 
UAE’s President Sheikh Mohamed bin Zayed Al Nahyan visited several patients receiving treatment in hospitals on Saturday, following the recent Iranian attacks targeting Emirati territory.
 
Saivi imekuwa watu hufa tena?
wakali alisema ataifuta israel kwenye ramani ya dunia kwa usaidizi wa Allah.
cha kushangaza haohao israel ndio wamemfuta yeye kwenye ramani ya dunia
hivyo tusema Allah ni muongo au vipi?
Kwamba ayatollah aifute Israel, ayatollah alikua na nguvu hata za kufyatua risasi!?..hivi vichwa vyenu mnavitumiaga kuvalia kapelo tu au ni bustani ya nywele?
 
Trump aliahidi kumuua Ayatollah na ni kweli ametimiza,kwani trump aliingia vitani?,alishika bunduki?
je amewezaje?

kwani irani wanatumia mikono kupambana na israel,si wanatumia zana za kivita(silaha)? Na kiongozi wao si alikuwa ayatollah akitoa amri kwa jeshi jinsi ya kushambulia.

asa mbona unauliza maswali kama mtoto mdogo ambaye hana akili,au unasiku nyingi hujatombwa ndio maana unakuwa na hasira ?
Fungua ule chakula halafu utombwe vizuri ili akili ikurudi na uache hasira na mihemko.
 
Ayatollah hakuwahi sema ataifuta Israel bali Iran itaifuta Israel,hii ni kauli toka ayatollah Khomeini na majenerali tofauti tangu mapinduzi ya 1979, jifunze communication skills,kusikiliza na kuelewa,kusoma na kung'amua
 
Uzi wa kujifaraji Ma Ayatollah ya mchambawima na kizimkazi

Babu yenu alikuwa na maneno mengi sana akafa dk ya kwanza ya pambano alilojiandaa miaka 47

Yani nusu ya Maisha yake alijisndaa kufuta Israel akafutwa yeye dk ya kwanza tu
Amekufa amecha misingi ya ambao inapeleka moto sasa hivi.

Wewe umri wako wote umekuwa ***** 😅
 
Back
Top Bottom